Ku-delete window xp moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ku-delete window xp moja

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Prisoner, Feb 16, 2010.

 1. Prisoner

  Prisoner Senior Member

  #1
  Feb 16, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF mimi nimkuja hapa leo kuwaomba swali kwani nawajua wa kina SHY wanaweza kunisave nilisomaga wanavyo save watu. Laptop yangu ni Toshiba pro. sasa ilikuwa na window XP nikasahau Window Password kwa kulog in nikaiformat kisha nikaweka windo ingine sasa wakati nawasha (switch on) inakuja windo zote mbili inasema kama una select windo ya kwanza au ya pili au itaran automatic ikiran auto inanipa window hii niliyo install nikichagua inanipa window ile ya zamani kwani naichagua sasa mimi nataka ibaki moja je Nifanyaje??
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Feb 16, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,235
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  Njia rahisi zaidi ni kwenda my computer right click - Properties - Advanced - Startup and Recovery - Hapo ndio Utaweza kuondoa moja kwenye Mtiririko wa kuwaka then uondoke hapo uka delete file la windows na mengine lakini hii inategemea na jinsi ulivyo install hiyo windows xp kama ziko mbili labda inawezekana ina share programe files hicho ni kitu cha kuangalia
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,834
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 180
  Well well:

  Kwanza, kama uli-FORMAT haiwezi ku-LOAD multiple Windows XP!

  Pili, Ulichofanya uli-INSTALL Parallel Windows XP na ndiyo maana ina-DISPLAY zote mbili wakati wa ku-BOOT

  Tatu, Kama una utaalamu wa kawaida wa ma-COMPUTER, LOAD XP kama kawaida, RIGHT-CLICK "My Computer" icon, then CLICK "Properties" from the drop down menu, then, CLICK "Advanced" TAB, then Click "Setting" icon, The click "Edit" button, utakuta kitu kama hii:-
  Ukifika hapo nenda kanywe kahawa, halafu urudi jamvini tuendelee!
   
 4. Prisoner

  Prisoner Senior Member

  #4
  Feb 16, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nimekunywa Mukubwa Baba_Enock sasa tuenderee ok
   
 5. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 596
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  huyo msababto hanywi kahawa..... hahahahhh....... mi nafikiri ajaribu kumess up na hizo code akiona haiwaki tena basi aniuzie kwa bei rahisi... anyway alichosema jama wa kwanza its right kwenye properties ya my comp..ataweza kuchagua ipi iwe default
   
 6. Prisoner

  Prisoner Senior Member

  #6
  Feb 16, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baba_Enock Vipi Kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa au Shy unasemaje juu ya hiloooo? maana naona Baba_Enock ame slipufowadi
   
 7. PgSoft2008

  PgSoft2008 JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2010
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mkuu. utaona line mbile za mfumo huu.


  multi(0)disk(0)rdisk(0)partition(1)\WINDOWS="Micro soft Windows XP Professional" /noexecute=optin /fastdetect

  Remove ya chini, No inategemea unachagua ipi unapoingia kama ni ya kwanza remove ya pili na kama ni ya pili remove ya kwanza.

  Note:

  You are playying with boot.ini file any mess up itafanya system isiwake.
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Feb 16, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,235
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  Njia niliyoelekeza mimi ni hatua kwa hatua na ndio njia rahisi zaidi ila pia inategemeana kama una full rights na kompyuta husika kama huna fullrights basi unaweza usifanikiwe katika vitu haswa hiyo hatua ya mwisho
   
 9. Prisoner

  Prisoner Senior Member

  #9
  Feb 16, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Baba_Enock, Shy. Pg na woote walionisave nimefanikiwa sana tu asanteni sana.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...