Mama AFRICA Hali yake wakuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama AFRICA Hali yake wakuu?

Discussion in 'JF Doctor' started by Prisoner, Mar 24, 2011.

 1. Prisoner

  Prisoner Senior Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nilibahatika kumwona mama Africa pale Muhimbi sasa mwenye DATA maana nilihuzunika sana kumwona maana alikuwa anaumwa na niliweza kuongea nae machache sasa sijui huko Tanzania kwani nilisafiri baada ya wiki mbili tokea nimwone mwezi wa pili kama sikosei tarehe za mwanzoni. Nilikuwa nauguza mgonjwa my sister,tulipofiwa tu baada ya msiba sikuweza kurudi tena muhimbili. Alikuwa anasumbuliwa na Kisukari kwenye mguu naomba kujua maendeleo yake wakuu.
   
 2. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Aisiii poleni sasa tutawatuma walio TAnzania kuulizia hali du.
   
 3. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wakuu hamumjui nini Mama Africa ni mimi tu na Prisoner?????????????????????????????????????????????????????????????
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ni yule alikuwa mwigizaji na rastafari pia au ni yupi haswa???? mhhhhh wengi hawamfahamu manake wkt anaigiza wengi tulikuwa vyuoni si rahisi sana kumfahamu au kumkumbuka si unajua tena ubize wa chuo na kula nondo.
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Nishamkumbuka, alikuwa akiigiza Jakamoyo, Star Tv, isnt t? Dah, poleni sana wote wanaoguswa na maradhi yake. Uguzeni pole...
   
 6. Paw

  Paw Content Manager Staff Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mungu ampe nafuu mapema...
  Ninamfahamu Mama Afrika
   
 7. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ndio huyo huyo aliyeigiza Jakamoyo kule Star TV da!! sijui hali yake wakuu watujulisheee
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Yeyote mwenye Picha ya huyo Mama Africa please??
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Alafu OP mkuu mbona umeadimika humu?
   
Loading...