...eeh!convict?Wana JF najitambusha tena kwenu baada ya kutoka kifungoni hapo zamani nilitumia jani kavu sasa unajua tena masuala ya rushwa balaa usiombe sasa nimerudi nimeshinda kesi
du umeshinda kesi ya kula jani ??
KWA HIYO UMEACHA HAYO MABANGI AU BADO UNAENDELEA KUZIMUA ?
Wana JF najitambusha tena kwenu baada ya kutoka kifungoni hapo zamani nilitumia jani kavu sasa unajua tena masuala ya rushwa balaa usiombe sasa nimerudi nimeshinda kesi
Wana JF najitambusha tena kwenu baada ya kutoka kifungoni hapo zamani nilitumia jani kavu sasa unajua tena masuala ya rushwa balaa usiombe sasa nimerudi nimeshinda kesi
Karibu sana..umeshinda au umetoka kifungoni?