Search results

  1. wende

    Fomu ya kujiunga na kidato cha tano, 2017/2018

    Asalaam wana JF; Nipo njia-panda wadau nisadieni jinsi ya kupata joining instruction ya form five ktk shule ya Borega - Mara. Kuna blog fulani najaribu ku-download inagoma. Asanteni.
  2. wende

    Interview za World Vision

    Mpaka nishasahau, hawa WV by Dec 2013 walitangaza nafasi za Programme Finance & Administration Officers, eti leo j2 wamenipa taarifa kuwa interview j4 Arusha. So waliomba kaani mkao wa kula!
  3. wende

    Factory Default imepoteza TV channels zote!!

    Salaam wana -JF; Naomba msaada wenu wa ku-restore channels. Kwa bahati mbaya nimebonyeza "OK" kwenye factory default ktk tv na nikajikuta napoteza channels zote. Natumia receiver ya mediacom 910. Naomba kuwasilisha.
  4. wende

    P/se naomba contacts za sekondari hizi-urgently!!

    Heshima Zenu enyi wadau wa elimu na JF kwa ujumla. Naomba contacts (simu/email) za shule zifuatazo; 1. Kizuka Secondary School-Morogoro. 2. Olaleni Secondary School-Kilimanjaro. 3. Cagliero Secondary School - Iringa. 4. Askofu Adrian Mkoba Secondary School-Morogoro 5. Dung'unyi...
  5. wende

    Re-advertised

    http://www.ajira.go.tz
  6. wende

    Re-advertised

    http://www.ajira.go.tz/index.php?option=com_docman&task=doc_details&Itemid=0&gid=208
  7. wende

    Malaria sugu kwa mwanangu!

    Nina mtoto wa mwaka 1 na miezi mi2 todate. For the 1st time,aligundulika na malaria 5 akatibiwa na kupata nafuu kabisa. Miezi mi2 baadaye akaanza kuonekana na dalili za malaria. Alipimwa again akakutwa na malaria 3. Akatibiwa,once again baada ya kama miezi mi2 ivi akaugua the same na kukutwa na...
  8. wende

    Laptop yangu iko very slow on scrowing.

    Nina laptop yangu ya Toshiba Satellite Pro. Before ikiwa na RAM ya 1GB haikuwa na shida for files scrowing but baadae nili-upgrade mpaka RAM ya 2GB ndipo taabu ikaanza.Haina shida ktk kuwaka/files opening,shida yake ni files scrowing ni mpaka kero. Yaani iko slowly sana on files scrowing...
  9. wende

    Can I switch from Windows 7 Ultimate to Windows XP professional???

    Hi all, Please naomba msaada wa hali na mali; Je nawezaje kubadili OS ya my laptop ya Windows 7 Ultimate kwenda/kurudi Windows XP Professional? N.B Originall this Toshiba laptop came with Windows XP Professional. Laptop hii ilikuja ku-collase on daily normal use and after repairing, Fundi...
  10. wende

    Msaada wa Internet ya tigo ktk simu.

    salaam to all jf! Naomba msaada wa namna ya kujiunga na tigo mobile internet. Simu yangu ni samsung gt-s5660 galaxy.
  11. wende

    Tatizo la Computer yangu kutokufunguka through Log On to Windows!

    Nina komputer yangu aina ya SONIC ambayo kwa muda mrefu nilikuwa sija-update Antivirus yake (Avast) kutokana mazingira niliko....hakuna mtandao! Muda mwingi imekuwa ikinisumbua sana kutokana na kuendelea kuitumia hali ikiwa out of date,siunajua,mara igome kuwaka,mara inastucky etc.. Ni jana tu...
  12. wende

    Tatizo la Computer yangu kutokufunguka through Log On to Windows!

    dah srry nimechemka attachment
  13. wende

    Black/dark spots ktk LCD ya Samsung Digital Camera!

    Salaam kwa wana JF wote! Nimekuwa na Samsung Digital Camera (ES70/Es71) kwa miaka miwili sasa. Juzi kuna my friend aliiazima ili akaitumie,nilimpa kwa nia nzuri tu. Cha ajabu ile kunirudishia nimeikuta Screen ya Camera ina madoa ya mviringo matatu meusi (black/dark spots) na nimemwuliza...
  14. wende

    Grameenphone Internet ni nini???

    Salaam wana JF wote! Nimekuwa nikitumia internet ya Modem ya Zain kwa kama miaka miwili sasa. Juzi nimeshangaa sana baada ya kugundua kuwa ktkt "My Computer" badala ya kuonyesha Zain-e-Go(D) sasa inaonyesha GP_by_SHAMIN(D)! Nikiunganisha internet basi kwenye ile window ya Zain-e-GO inaonyesha...
  15. wende

    Msaada wa MODEM hii ya ZAIN!

    Nimekuwa nikitumia modem ya Zain kwa muda mrefu bila shida yoyote sasa leo nimeshindwa kuelewa kabisa! Yaani nimejaribu kufungua internet thru "Zain e-GO" ikanigomea kabisa!Modem ilikuwa kama ime-stick ivi na nikaamua ku-Uninstall! Apo ikawa ndo balaa jingine yaani nilipojaribu ku-reinstall apo...
  16. wende

    Tope la kutu/rusting ktk "cooling system" ya gari!!

    Wasalaam, Nina gari dogo type ya Saloon Automatic 6S ambalo niliagiza 1 kwa 1 toka Japani since 2008. Mwaka jana fundi wangu alibadilisha ile original coolant to coolant ya kibongo iitwayo "Simba Super Radiator Coolant". Alibadilisha baada ya kuhisi kuwa antirusting ktk ile original coolant...
  17. wende

    Abbas: Mguu wagu unanitesa, nisaidieni jamani-Ivi,Serikali nayo inayaona haya??

    Sunday, 10 July 2011 10:27 Na Julius Magodi Picha 2 tofauti: Abas akiwa amejipumzisha nyumbani kwao ABBAS Abdalaah (31) aliapoanza kuvimba uvimbe mdogo katika mguu wake wa kulia hakujua kuwa ulikuwa ni mwanzo wa ugonjwa ambao hatimaye ungemfanya ashindwe kutembea.Ugonjwa huo ambao mpaka...
  18. wende

    Maskini Abas: Si serikali inayaona haya??????????????

    Du,sorry apo nimechemka! Nimesahau kuweka taarifa yake.
  19. wende

    Sauti ya simu yangu iko chiiini sana!

    Salaam kwa wana JF wote! Ni kuwa wakati napiga simu,mpokeaji/receiver ananisikia kwa mbali/shida sana (i.e. sauti yangu inakuwa chini mno). Wakati huo mimi nakuwa namsikia vizuri sana! Inafika muda kila ninayempigia simu,lazima aniambie niongeze sauti ili anisikie vizuri. Kuna wakati fulani...
  20. wende

    Tofautisha hii miujuza ya Osama!

    Hapo Osama kabla na baada ya kutokea kimiujiza kwenye tukio la kikao cha Obama na watendaji wake wakati wakiangalia tukio la kifo chake!
Back
Top Bottom