Laptop yangu iko very slow on scrowing.

wende

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
714
65
Nina laptop yangu ya Toshiba Satellite Pro. Before ikiwa na RAM ya 1GB haikuwa na shida for files scrowing but baadae nili-upgrade mpaka RAM ya 2GB ndipo taabu ikaanza.Haina shida ktk kuwaka/files opening,shida yake ni files scrowing ni mpaka kero. Yaani iko slowly sana on files scrowing. Angalizo: ktk disk ya 74.5,free space=36.9GB,OS ni XP SP2,laptop ni kukuu imenunuliwa mwaka 2007!
Ninaomba msaada wakuu maana bado sijajipanga to buy a new one.
 
Jaribu kubadili windows na ni vema uanze sasa kutumia windows xp sp3. Hiyo xp sp2 imeshapitwa na wakati.
Na je processor yake ni ngapi? na unatumia antivirus gani?
 
SCROWING ni gani? Au waamaanisha SCROLLING, jaribu kama ulivyoambiwa yawezekana hata driver ya mouse iko na shida pia hata settings za mose ziko changed bila ya wewe kuelewa.

How to Speed Up the Touchpad Mouse
As laptops continue to become more portable and affordable, users are utilizing more and more touchpad mousepointing devices. However, the touchpad on the mouse sometimes runs a little slow on certain computers, meaning the user had to go into the computer and change the speed setting.

Instructions
1.
Go into "System Processes," either by performing a search or by going to your desktop background, right-clickingand going into the Properties folder.
2.
Go to "Mouse Settings." Depending on the operating system you are using, this section will be called something like "Mouse Pointers," "Touchpad Settings" or some combination of those.
3.
Go to "Pointer Settings" and adjust the speed of the mouse. By speeding up the pointer, when you move your fingeragainst the touchpad, the cursor will move more rapidly against the screen. Alternately, if you want to make the touchpad mouse slower, slow down thepointer.
4.
When properly adjusted, click "Apply" and "OK."
5.
If the touchpad is still too slow, go backinto your "Mouse Settings" and make the pointer speed faster. Continue doing this until you are happy with the speed at which your cursor is moving on your screen in relation to your touchpad mouse
 
Miundombinu ya laptop yako ni ya 1GB RAM kuiongezea 2GB ni sawa na kufungia speed meter ya 180 Km/h kwenye bajaj. usijaribu tena kuapgrate komputa zako, wazungu sio wajinga hivyo, huwa wanacallibrate vitu vingi ili vifanane na bei wanayokuuzia product yao.
 
naomba utuambie processor yake inaukubwa gani ili tuangalie ukubwa wa processor na ram kama vina wiana ili tuone tunanzia wapi kukushauri cha kufanya na kuhusu window hakuna window ambayo nifamily, nyepesi na haina complicatication na haina selectivity kwa computer za single processor na some times hata baadhi ya duo's processor kama ukipata drivers zote kama xp sp2 pamoja na kwamba wengi huionaimepitwa ,na kwa utendaji kazi ni zaidi ya sp3 na speed pia inafanya vema hata ikiwa loaded tofauti na sp3 ambayo ikiwa loaded inakuwa nzito kama win7 ambavo huwa ikiwa loaded.
 
na mara zote ukutaka performance nzuri ya comp yako usipende sana ukubwa ram uzidi nusu ya procesor huwa i hatari kwa processor yako na wakati mwingine unaweza ona kuwa umeupgrade ram na speed ikawa ndogo zaid ya mwanzo linganisha ukubwa wa processor na ram mf.kama processor ni 2ghz basi ram isiwe zaidi ya 1gb na kama proc ni 3ghz ram isiwe zaid ya 1500mb or 1.5gb hii ni kwa computer za single processor bt kwa duo ikiwa @2.00ghz basi ram isizid 2gb ili kuweka uwiano mzuri kati ya processor na ram hope kwa wanao hitaji watazingatia.
 
Thnx. Nahisi hili ndo kosa nililofanya,ngoja nipo mbali na laptop nitatoa details za processor.
 
SCROWING ni gani? Au waamaanisha SCROLLING, jaribu kama ulivyoambiwa yawezekana hata driver ya mouse iko na shida pia hata settings za mose ziko changed bila ya wewe kuelewa.

How to Speed Up the Touchpad Mouse
As laptops continue to become more portable and affordable, users are utilizing more and more touchpad mousepointing devices. However, the touchpad on the mouse sometimes runs a little slow on certain computers, meaning the user had to go into the computer and change the speed setting.

Instructions
1.
Go into "System Processes," either by performing a search or by going to your desktop background, right-clickingand going into the Properties folder.
2.
Go to "Mouse Settings." Depending on the operating system you are using, this section will be called something like "Mouse Pointers," "Touchpad Settings" or some combination of those.
3.
Go to "Pointer Settings" and adjust the speed of the mouse. By speeding up the pointer, when you move your fingeragainst the touchpad, the cursor will move more rapidly against the screen. Alternately, if you want to make the touchpad mouse slower, slow down thepointer.
4.
When properly adjusted, click "Apply" and "OK."
5.
If the touchpad is still too slow, go backinto your "Mouse Settings" and make the pointer speed faster. Continue doing this until you are happy with the speed at which your cursor is moving on your screen in relation to your touchpad mouse

Dah,Thnx kwa kunisahihisha!
 
na mara zote ukutaka performance nzuri ya comp yako usipende sana ukubwa ram uzidi nusu ya procesor huwa i hatari kwa processor yako na wakati mwingine unaweza ona kuwa umeupgrade ram na speed ikawa ndogo zaid ya mwanzo linganisha ukubwa wa processor na ram mf.kama processor ni 2ghz basi ram isiwe zaidi ya 1gb na kama proc ni 3ghz ram isiwe zaid ya 1500mb or 1.5gb hii ni kwa computer za single processor bt kwa duo ikiwa @2.00ghz basi ram isizid 2gb ili kuweka uwiano mzuri kati ya processor na ram hope kwa wanao hitaji watazingatia.

Mkuu nina shaka kidogo na hilo, mfano utakuta computer ni i3 ina 2.5 ghz na wam gb 4 tena haijawa upgraded. Mfano mimi nina hp i3 ram yake gb 4 processor 2.5 na imeandikwa ram yake inaruhusu upgrading mpaka 8gb.
Ila labda mimi ninachoona watu wengi hupenda kuona computer ina ram kuubwa bila kujua capacity ya vitu vingine. Mfano kuna rafiki yangu ana laptop ina 1.6ghz na ram 5gb uwa najiuliza kwa hiyo processor ni kazi gano atafanya ambayo itahitaji ram hizo. Games zenyewe kucheza utata japokuwa ina graphics yenye 2000mb
 
SCROWING ni gani? Au waamaanisha SCROLLING, jaribu kama ulivyoambiwa yawezekana hata driver ya mouse iko na shida pia hata settings za mose ziko changed bila ya wewe kuelewa.

How to Speed Up the Touchpad Mouse
As laptops continue to become more portable and affordable, users are utilizing more and more touchpad mousepointing devices. However, the touchpad on the mouse sometimes runs a little slow on certain computers, meaning the user had to go into the computer and change the speed setting.

Instructions
1.
Go into "System Processes," either by performing a search or by going to your desktop background, right-clickingand going into the Properties folder.
2.
Go to "Mouse Settings." Depending on the operating system you are using, this section will be called something like "Mouse Pointers," "Touchpad Settings" or some combination of those.
3.
Go to "Pointer Settings" and adjust the speed of the mouse. By speeding up the pointer, when you move your fingeragainst the touchpad, the cursor will move more rapidly against the screen. Alternately, if you want to make the touchpad mouse slower, slow down thepointer.
4.
When properly adjusted, click "Apply" and "OK."
5.
If the touchpad is still too slow, go backinto your "Mouse Settings" and make the pointer speed faster. Continue doing this until you are happy with the speed at which your cursor is moving on your screen in relation to your touchpad mouse

yeye kasema scrowing! wewe unalazimisha iwe scrolling! Hata hivyo Bado natafuta jins ya kumsaidia tatizo la kuscrow!!
 
RAM iache ile ile 1GB na AVG si nzuri kivile. mimi natumia microsoft security essential (mse) ni nzuri sana pia ni ya bure, ukiona inasumbuwa namna ya kuiupdate labda sababu ya slow internet niambie nikueleweshe namna nyingine ya kuiupdate. lakini kumbuka pia kuhusu hiyo windows nenda kwenye sp3, kama huna niambie nione namna naweza kukusaidia.

Hahahahaha. Ee! utatafuta hadi juzi
 
RAM iache ile ile 1GB na AVG si nzuri kivile. mimi natumia microsoft security essential (mse) ni nzuri sana pia ni ya bure, ukiona inasumbuwa namna ya kuiupdate labda sababu ya slow internet niambie nikueleweshe namna nyingine ya kuiupdate. lakini kumbuka pia kuhusu hiyo windows nenda kwenye sp3, kama huna niambie nione namna naweza kukusaidia.

Thnx na sawa nitaijaribu!
 
kama ungejua maana ya hiyo i3 au i4 na kuendelea ni processor za aina gani wala usinge comment soma maelezo yangu vizuri mkuu yaelewe pia then jua kutofautisha hizo prcssr usiangalie tu kwa ghz.
 
Mkuu nina shaka kidogo na hilo, mfano utakuta computer ni i3 ina 2.5 ghz na wam gb 4 tena haijawa upgraded. Mfano mimi nina hp i3 ram yake gb 4 processor 2.5 na imeandikwa ram yake inaruhusu upgrading mpaka 8gb.
Ila labda mimi ninachoona watu wengi hupenda kuona computer ina ram kuubwa bila kujua capacity ya vitu vingine. Mfano kuna rafiki yangu ana laptop ina 1.6ghz na ram 5gb uwa najiuliza kwa hiyo processor ni kazi gano atafanya ambayo itahitaji ram hizo. Games zenyewe kucheza utata japokuwa ina graphics yenye 2000mb

kama ungejua maana ya hiyo i3 au i4 na kuendelea ni processor za aina gani wala usinge comment soma maelezo yangu vizuri mkuu yaelewe pia then jua kutofautisha hizo prcssr usiangalie tu kwa ghz.
 
Mkuu nina shaka kidogo na hilo, mfano utakuta computer ni i3 ina 2.5 ghz na wam gb 4 tena haijawa upgraded. Mfano mimi nina hp i3 ram yake gb 4 processor 2.5 na imeandikwa ram yake inaruhusu upgrading mpaka 8gb.
Ila labda mimi ninachoona watu wengi hupenda kuona computer ina ram kuubwa bila kujua capacity ya vitu vingine. Mfano kuna rafiki yangu ana laptop ina 1.6ghz na ram 5gb uwa najiuliza kwa hiyo processor ni kazi gano atafanya ambayo itahitaji ram hizo. Games zenyewe kucheza utata japokuwa ina graphics yenye 2000mb
soma maelezo yangu vizuri mkuu i3 huwezi linganisha na single processor ya 1.6ghz ni sawa na kulinganisha nguvu ya trekta na vitz
 
kama ungejua maana ya hiyo i3 au i4 na kuendelea ni processor za aina gani wala usinge comment soma maelezo yangu vizuri mkuu yaelewe pia then jua kutofautisha hizo prcssr usiangalie tu kwa ghz.
nakubari kuwa nili comment pasipo kusoma vizuri maelezo yako. I series ni processor zinazoweza process data kubwa hata kama muda mwingine speed yake inakuwa ni ndogo. yani ni mfano wa bus linabeba watu wengi kwa wakati mdogo japokuwa saa nyingine hilo bus linaweza kuwa halina speed kama gari ndogo.
any way sorry kwa kukimbilia kucomment bila kusoma vizuri ulichoandika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom