Tope la kutu/rusting ktk "cooling system" ya gari!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tope la kutu/rusting ktk "cooling system" ya gari!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by wende, Jul 16, 2011.

 1. wende

  wende JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wasalaam,
  Nina gari dogo type ya Saloon Automatic 6S ambalo niliagiza 1 kwa 1 toka Japani since 2008. Mwaka jana fundi wangu alibadilisha ile original coolant to coolant ya kibongo iitwayo "Simba Super Radiator Coolant". Alibadilisha baada ya kuhisi kuwa antirusting ktk ile original coolant ilikuwa imeisha! Sasa juzi wakati anafanya normal ingine check up, akagundua kuwa ile system ya cooling ime-spread tope la kutu! Nilipomwuliza why this,ofcoz hakunipa jibu la wazi zaidi ya ku-drain ile coolant yote na kuweka nyingine. Mpaka sasa, nimekuwa na wasiwasi mkubwa sana juu ya gari langu ukizingitia kuwa mimi si mtalaamu wa magari!
  Ndugu wana Jf, mi naomba kujua kinachoendela ktk gari langu kwa vidokezo vifuatavyo: Je,
  1. Ni tatizo la duration since previous change?
  2. Ratio ya Coolant to water haikuzingatiwa?
  3. Ni tatizo la aina ya coolant?
  4. Lile tope ktk cooling system halina madhara in the Engine Block?
  Naomba kuwasilisha.
   
Loading...