Mpaka nishasahau,hawa WV by Dec 2013 walitangaza nafasi za programme finance & administration officers, eti leo j2 wamenipa taarifa kuwa interview j4 Arusha. So waliomba kaani mkao wa kula!
Kaka hizi ajira zimeshaingiliwa hakuna cha walokole wa World Vision wala wa wapi,nendo kabahatishe lakini nakuambia hao jamaa wameshanitoka rohoni kabisa,ushenzi walionifanyia Mungu atawalipa lakini hata hivo naamini katika kila linalomtokea mwanadamu ni mpango wa Mungu but all in all wamenitoka sana
Hawana jipya hata kidogo,wanaanza na interview ya kuandika then baadae kidogo wanakupiga ya oral then wanakusainisha declaration ya kulinda watoto.Vyote hivo vinafanyika ndani ya siku moja lakini nakuambia hao akina Orestes Sota na kundi lake la HR watakuambia mambo ya kiMungu oooh mistari kwa sana lakini ni watu wa ajabu sana wanapendelea kwenye interview zao.All in all try your lucky maana kila mtu ana bahati yakekaka unaweza kuandika hapa walichokufanya au uka ni pm maana ndio mara ya kwanza kuitwa nao interview. please
Hawana jipya hata kidogo,wanaanza na interview ya kuandika then baadae kidogo wanakupiga ya oral then wanakusainisha declaration ya kulinda watoto.Vyote hivo vinafanyika ndani ya siku moja lakini nakuambia hao akina Orestes Sota na kundi lake la HR watakuambia mambo ya kiMungu oooh mistari kwa sana lakini ni watu wa ajabu sana wanapendelea kwenye interview zao.All in all try your lucky maana kila mtu ana bahati yake
thanks kaka. ngoja nikajaribu tuu maana naishi hapa arusha.
vipi written yao inakuwa na maswali gani?
ni namba ya tigo
Maswali ya written ni ya professional yako eg kama umesoma Accounts wanakuuliza maswali ya Accounts and not otherwise.Kwa kuwa upo Arusha huna cha kupoteza just try your lucky
mkuu mimi ni accounts. unaweza kunipa hints za maswali au nijiandae shemu zipi?
Brother am not sure kama upo serious ama you are jocking, kama upo serious take my word dont go to that interview utafeli maana hujiamini hata kidogo. So don't waste your precious time
Brother am not sure kama upo serious ama you are jocking, kama upo serious take my word dont go to that interview utafeli maana hujiamini hata kidogo. So don't waste your precious time
asante mkuu. naona msaada wako umeishia hapo. i am nt such a lunatic. thats why even ACCA have examination hints.
bwna huyo Orestas sota namfahamu alikuwa Rais wangu mzumbe mwaka 2007 jamaa ni mtaratibu sana labda awe amebadilika na msure wake ni lecturer mzumbe pale wewe.rafiki yangu kapige interview usisikilize maneno.ya wakosaji kwani maisha ni kupambana all t