Tatizo la Computer yangu kutokufunguka through Log On to Windows!

wende

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
714
65
log-on-to-windows-box1.gif

Nina komputer yangu aina ya SONIC ambayo kwa muda mrefu nilikuwa sija-update Antivirus yake (Avast) kutokana mazingira niliko....hakuna mtandao!
Muda mwingi imekuwa ikinisumbua sana kutokana na kuendelea kuitumia hali ikiwa out of date,siunajua,mara igome kuwaka,mara inastucky etc..
Ni jana tu ndo nikawa ktkt mazingira yenye mtandao kwa ajili ya to update. Kwa kutumia modem ya Zain,iliunganisha kwa ajili ya ku-update Avast na ili-run for just a minute na then ikazimika kabisa! I switched on na ikawaka vizuri tu mpaka ktk "Log On to windows". But ajabu ni kuwa nilinyoandika password for switching on,ikaandika Loading for personal settings.....then ikarudi pale ktk log on windows screen kama nilivyoonyesha in my attachment.
Ni kuwa haifunguki na kuonyesha ile Start up Menu badala yake inajirudia ktkt "Log On to windows"!

SWALI:Nini kimetokea na Nifanye nini ili kutatua tatizo hili?

Naomba kuwasilisha.
 
Attachments

  • log on to windows.doc
    32.5 KB · Views: 33
Inawezekana kuna start-up file lilikuwa lishakuwa infected na virus...sasa ulipo-update antivirus ikalifuta kwa kulitreat kama virus, jaribu kuingia kwenye system(computer) kwa safe mode then ingia kwenye control panel restore system!
 
ok thnx!
 
washa mashine ikianza kuwaka bonyeza f8 itakuja screen black yenye safe mode na vitu vingine angalia chini utaona last known good configurations,just select hiyo everything will be ok.
 
mkuu bado inagoma.
 
washa mashine ikianza kuwaka bonyeza f8 itakuja screen black yenye safe mode na vitu vingine angalia chini utaona last known good configurations,just select hiyo everything will be ok.
mkuu naona ishu bado inasumbua.
 
cjajua kama imegoma ku-restore au kuingia safe mode...bt kama ni ku-restore basi from expirience the damage kan only be repaired by repairing the OS or fresh installation.....

TIP:kama pc ina capacity kubwa za system memory(RAM) na speed basi weka window 7 os, it is very resistant to viruses! pc yangu inatimiza mwaka haijawahi nizingua kwa issue za virus...halafu pia window xp microsoft wametangaza kuacha kui-support tangu 2009 kwamba wanataka kuiondoa sokoni, hata ukiingia kwenye site ya microsoft huwezi kukuta updates/support za XP, thus making t harder to deal with the problems arising from win XP on the daily basis
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom