Grameenphone Internet ni nini???

wende

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
714
65
Salaam wana JF wote!
Nimekuwa nikitumia internet ya Modem ya Zain kwa kama miaka miwili sasa. Juzi nimeshangaa sana baada ya kugundua kuwa ktkt "My Computer" badala ya kuonyesha Zain-e-Go(D) sasa inaonyesha GP_by_SHAMIN(D)! Nikiunganisha internet basi kwenye ile window ya Zain-e-GO inaonyesha Grameenphone Internet or GP-Internet.

SWALI: Nini kimetokea ktk my modem na kubadili toka Zain-e-GO na kuwa GP-Internet? Je naweza ibadilisha hiyo kuwa zain?
Nawakilisha.
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,287
1,832
GP_by_SHAMIN ni software kwa ajili ya modem za Grameenphone kampuni ya Bangladesh, wazo langu ni utakuwa kuna kipindi ulikuwa unajaribu
kuchakachua modem kwa kutumia software mbalimbali na ukabadili hiyo dash jaribu kukumbuka kama sio wewe mtu mwengine anayetumia hiyo modem.
Anyway kama inafanya kazi sio tatizo kuwa haionekani Zain tena.
 
Kang,Upo sahihi kabisa,kuna muda nilitaka kuichakachua but ikanishinda na matokeo yake ndo haya!
Inafanya kazi vizuri tu,tatizo ni kuwa kila nikitaka kujiunga na internet......unanza kwanza kufunguka mtandao wa www.grameenphone.com! Then mimi inabidi sasa nibadili kwa kuandika mtandao mwingine ninaotaka kuufungua. Dah,mpaka kero!
Ila thank you Kang kwa kunielewesha na kunitoa wasiwasi japo napata kero! More help plse..!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom