Msaada wa MODEM hii ya ZAIN!

wende

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
714
65
Nimekuwa nikitumia modem ya Zain kwa muda mrefu bila shida yoyote sasa leo nimeshindwa kuelewa kabisa! Yaani nimejaribu kufungua internet thru "Zain e-GO" ikanigomea kabisa!Modem ilikuwa kama ime-stick ivi na nikaamua ku-Uninstall! Apo ikawa ndo balaa jingine yaani nilipojaribu ku-reinstall apo ndo ikagoma kabisa yaani hakuna kitu chochote kinaachotokea ktk screen ya laptop!

Dokezo:Modem hii hii inafanya kazi vizuri kabisa Ktk computer nyingine ambazo tayari zina "zain e-GO" na naona tatizo lake ni installation tu!

Wana JF nisaidieni namna gani naweza ku-reinstall hii kitu ili niendelee kuenjoy na net thru my modem???-----Nawasilisha!

tafuta modem nyingine same model as yours then install in your pc and off u go

hau nenda internet then download mobilepartner app kozi hiyo modem ni ya huawei na obilepartner its for huawei modems ukisearch via google itakua poa the good keyword might be "mobileparner.zip" thanks

If it doesn't autoplay, nenda ka open direct katika icon ya modem in my computer then run the setup.exe, kama haita install problem possibly ni windows installer yako ambayo itahitaji kurepair

Back
Top Bottom