Search results

  1. McDonaldJr

    Ajali ya basi la Happy Nation eneo la Mikumi

    Bus la kampuni ya Happy Nation lilikua linatokea Dar kwenda Mbeya lenye namba T 618 BDN limepata ajali eneo la Mikumi mpaka sasa chanzo sahihi hakijajulikana. Idadi ya waliopoteza maisha ni wawili ambao mimi nimewaona ila majeruhi ni wengi na mpaka naondoka hapa basi lilikua limeshainuliwa na...
  2. McDonaldJr

    PETIT MAN afunga ndoa na ESMA PLATNUM

    Kupitia mitandao kadhaa ya kijamii na uthibitisho wa picha kupitia account ya IG ya bwana harusi Petit man wakuache imethibitika kuwa wawili wamefunga ndoa siku ya leo. Esma Platnum ambae ni dada wa msanii wa Bongo fleva Nassib Abdul a.k.a Diamond Platnumz. InshaAllah Mungu awabariki kwenye...
  3. McDonaldJr

    Simu LG P970 haikubali kuongeza salio.

    Habari zenu wana jamvi.! Nina simu tajwa hapo juu ina tatizo la kukataa kuongeza salio kwa njia ya kawaida na maanisha *104* inakubali tu kwa njia ya sauti,na pia haiwezi kuonyesha salio kwa njia ya sms ni kwa njia ya sauti tu. Hii ndio sms inayokuja nikiuliza salio "The process...
  4. McDonaldJr

    Ualimu ni zaidi ya wito

  5. McDonaldJr

    Je Trey Song ni Shoga?

    The hit maker wa "Heart attack" na RnB super star Trey Songs bado anasumbua kwenye social networks kuhusiana na ishu yake ya kua shoga. Kupitia ukurasa wake wa tweeter aliwahi ku-confess kua yeye ni shoga. Ila baada ya muda aliifuta tweet hii baada ya kupata comments nyingi na idadi ya walio...
  6. McDonaldJr

    Shemeji zima taa

  7. McDonaldJr

    Umegundua nini?

  8. McDonaldJr

    Umegundua nini?

  9. McDonaldJr

    Nahitaji Flat screen 32 inches.

    Kama heading ilivyo hapo budget yangu ni 400000 Tshs iwe iko poa haina tatizo i dont care much about brand names except mchina wa ajabu mfn landrover etc. PM ukiwa tayari kwa kuuza.
  10. McDonaldJr

    Suluhisho la mafuriko

  11. McDonaldJr

    Sema Photoshop wakusikie

  12. McDonaldJr

    Baba kaenda kazini

  13. McDonaldJr

    Ndoa ndoano.

  14. McDonaldJr

    Mpiga Kura wa nchi hii.

    Twenzetu m-TZ jua likichomoza maji yatakauka maisha yataendelea.
  15. McDonaldJr

    Huu ni mti gani?

  16. McDonaldJr

    Usiku mwema.

    Huku kwetu maji yamekatika.
  17. McDonaldJr

    Ubunifu kwenye short call

  18. McDonaldJr

    Ivi sielewi kizungu au wao wamekosea?

  19. McDonaldJr

    Miss TZ 2006 kaibukia hapa

    WEMA I SEPETU kaamua kutia para kichwani sijui ndo u-Amber au niaje ndio muonekano mpya.
  20. McDonaldJr

    Bouncers wanatafuta kazi.

    Kwa usalama wako hawa ndo suluhisho ni membas pia wa JF mi wakala wao tu.
Back
Top Bottom