Simu LG P970 haikubali kuongeza salio.

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,388
7,551
Habari zenu wana jamvi.!
Nina simu tajwa hapo juu ina tatizo la kukataa kuongeza salio kwa njia ya kawaida na maanisha *104* inakubali tu kwa njia ya sauti,na pia haiwezi kuonyesha salio kwa njia ya sms ni kwa njia ya sauti tu.
Hii ndio sms inayokuja nikiuliza salio "The process com.android.phone has stopes unexpectedly.Please try again later"
Naomba msaada wenu wataalamu nimejaribu kui-flash mara kibao tatizo liko palepale.
 
Back
Top Bottom