Ualimu ni zaidi ya wito

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,388
7,551
ImageUploadedByJamiiForums1400031933.181847.jpg
 
Hilo darasa lina watoto wangapi?...pongezi kwa walimu wote..
hapo ni walimu watatu darasa lakwanza mpaka la saba, kila darasa lina mkondo ABC, kila chumba cha darasa kuanzia la nne mpaka la saba kina watoto 89. darasa la kwanza mpaka la tatu kila chumba wapo 120. kuanzia darasa la nne mpaka la saba katika kila chumba cha darasa kuna madawati 10 tu, darasa la kwanza mpaka la nne kila chumba kina dawati moja kwaajili ya mwalimu.

Ofisi ya waalimu hakuna viti wala meza, wanatumia madawati mawili tu. hakuna makabati ya kuhifadhi nyaraka za ofisi.
 
Mkuu kwanza poleni na kazi za ujenzi wa taifa na fahamu kwa kazi yenu ni ngumu hasa pale mnapokuwa na mitoto minunda au mikurutu na huja na nyembe na hapo tena kwa usalama wako ni kuwapitesha hata kama kichwa maji ni bora nusu shari koliko shari kamili
 
Back
Top Bottom