Mpiga Kura wa nchi hii.

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,388
7,551
Twenzetu m-TZ jua likichomoza maji yatakauka maisha yataendelea.
ImageUploadedByJamiiForums1395813159.208233.jpg
 
Mda mwengine mimi nashindwa kuilaumu serikali, aliesababisababisha hayo maji yakae hapo ni nani? Kwani lazima kuishi mjini? Watu tunajenga ovyo likitokea tatizo tunasema serikali....
 
Mda mwengine mimi nashindwa kuilaumu serikali, aliesababisababisha hayo maji yakae hapo ni nani? Kwani lazima kuishi mjini? Watu tunajenga ovyo likitokea tatizo tunasema serikali....
Serekali ndio chanzo mbona sehemu walizotoa ramani pako vzr.Wewe kijijini utakaa halafu udake kumbikumbi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom