McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
kweli kabisa, ila kwa uelewa wangu hiyo phrase ipo sahihi kabisa ila haileti maana anayotaka au aliyoizoea. In trust we God inaweza kuleta maana ya ' kwa imani tunaabudu'. lugha inasomewa na kutoa wataalamu.Lugha za watu tuziache tu
kweli kabisa, ila kwa uelewa wangu hiyo phrase ipo sahihi kabisa ila haileti maana anayotaka au aliyoizoea. In trust we God inaweza kuleta maana ya ' kwa imani tunaabudu'. lugha inasomewa na kutoa wataalamu.

1.we god in trust
2.we trust in god
3.we in trust god
4.IN DOG WE TSURT
Mmh...mkuu hii hapana! Imegoma kuload asee!!
najua rhymes hazileti ladha nzuri ya matamshi lakini grammar ni sawa na semantic okay jambo ndio inayozua mjadala. nionyeshe ni wapi grammar imevunjwa?
najua rhymes hazileti ladha nzuri ya matamshi lakini grammar ni sawa na semantic okay jambo ndio inayozua mjadala. nionyeshe ni wapi grammar imevunjwa?
Mimi hapa nadhani ni mgeni kbs.:A S 465::A S 465:
Hiyo inaitwa Vice versa au round about
Astaghfirullah
Vipi tena sheikh wangu mchapio umepitiliza.?