Ajali ya basi la Happy Nation eneo la Mikumi

Ajali ya basi la Happy Nation eneo la Mikumi

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
6,386
Reaction score
7,562
Bus la kampuni ya Happy Nation lilikua linatokea Dar kwenda Mbeya lenye namba T 618 BDN limepata ajali eneo la Mikumi mpaka sasa chanzo sahihi hakijajulikana.

Idadi ya waliopoteza maisha ni wawili ambao mimi nimewaona ila majeruhi ni wengi na mpaka naondoka hapa basi lilikua limeshainuliwa na majeruhi wamekimbizwa hospitali.

ImageUploadedByJamiiForums1428579070.008822.jpgImageUploadedByJamiiForums1428579106.220859.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1428579141.852458.jpg
 
Hii hatari. Nimesikia pia kuna ajali imetokea mikumi ikihusisha roli na basi, nyingine tena imetokea msata ikihusisha mabasi ya ngorika na ratco. Yote haya yametokea leoleo
 
duh ajali ajali kila kona poleni sana wahanga
 
Rip marehem,pole sn kwa majeruhi na wana familia waliokutwa na msiba.
 
Du mpaka sa n ajali 3 Mabasi manne, ngorika na ratco, luwinzo harafu national tena. Full majanga
 
Hii hatari. Nimesikia pia kuna ajali imetokea mikumi ikihusisha roli na basi, nyingine tena imetokea msata ikihusisha mabasi ya ngorika na ratco. Yote haya yametokea leoleo

Ya Mikumi ndio hii mkuu.
 
Aisee... Hizi ajali mbona zinahusisha mabasi tu?

Au ndo mwaka wa uchaguzi watu wanatoa kafara.

Mungu turehemu.

Kuna haja ya kuweka two way kwa hizi highway ili kupunguza ajali za uso kwa uso.
 
Sasa hii ni Garrisa ! TZTunahitaji kuomba sana mungu atuhurmie!
 
natamani siku moja na ule msafara wa magogoni upate ajali maana wanamwendokasi hatari..................(joking)
 
Rushwa ikitamalaki katika nchi haya ndio matokeo yake.
 
Ajali za mabasi tumeshazizoea na kuzikinai tunataka za ndege na meli sasa....
 
Back
Top Bottom