Usiku mwema.

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,388
7,551
Huku kwetu maji yamekatika. ImageUploadedByJamiiForums1395597889.714127.jpg
 
Hapa kwa picha hii mtasema mengi lakini ni hali halisi za baadhi ya Watanganyika inayokuja hivi punde huko Dodoma japo chama cha Kijana hakipendi kabisa.
 
ikumbikwe tu kwamba kuna maeneo ili maji yapatikane n kutembea 10km, na ndala kuzipata huyu n mnadan mara moja kwa mwezi na akauze mbuzi ama kondoo ndo apate pesa, so asilaumiwe kwa muonekano wa miguu yake , n matokeo ya maisha bora kwa kila mTz
 
Imagine umetoka na mtoto wa geti kali akirudi kwao asubuhi full michubuko
 
Jerrymsigwa tena akienda kupiga kura anachagua MaCCM!!
Jamani watu waelimishwe wajue haki zao, miaka 50 ya uhuru watu wanachota maji kwa shida hivyo??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom