Umegundua nini?

Umegundua nini?

imetengenezwa tar 13 may 2014! wakati hii ni april, hii kali mno..!
 
Huyo mjasiliamali amezingatia taratibu zote za TBS ndio maana hata wahusika wamemgongea muhuri,kwa ujumla ametimiza mradi kama hakutoa chochote.Hiyo ndiyo staili yetu wabongo, kufanya mambo kiujanja ujanja,bidhaa hiyo hiyo wakiikataa nchini kenya, msikilize mbongo atakavyolalamika kwamba ameonewa.Biashara ya maua pale Arusha ilikuwa inadoda kwa mtindo huo huo.
 
Hii kanchi kaajabu sana sisi wabongo tunaongoza kwa kulalamika kwa kila kitu na yote haya ni ufisadi tu bandarini kunanuka uwanja wa ndege na taasisi na maidara yoote zina nuka na ole wako kama huna shilingi basi hapo utambiwa faili lako halionikani hapo kijasho chembamba mpaka utoi i kitu kidoga basi hapo ndio utafurahi na hao maofisa unakuwa nao kama ndugu hapo tena hata bangi wewe pitesha tu haka kaanchi kama vile kimepigwa na laana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom