Baba kaenda kazini

Baba kaenda kazini

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
6,386
Reaction score
7,562
ImageUploadedByJamiiForums1396976018.840510.jpg
 
Hii ndiyo afrika ingawa kiwango cha gesi kikubwa kimepatikana sidhani kama kitamsaidia mwananchi kama huyu asiendelee kutumia kuni
 
Mafuta nchini Nigeria kibao,utashangaa kuona foleni kwenye vituo!!.
 
Halafu jamaa kama huyu umwambie habari za serikali tatu sijui Bunge la katiba sidhani kama atakuelewa. Yani wale jamaa na maigizo yao wangekua wanafikiria watu kama hawa zile laki 3 wasingezipokea.
 
Tena usimtajie kabisa posho ya hao wabunge atakufa kwa hasira wewe muache tu apite na kuni zake
 
Kweli Baba kaenda kazini!

Hapa kwetu tunasema Maisha bora kwa kila Mtanzania.

Kauli mbiu ya uchaguzi mkuu mwaka 2005.
 
halafu akishauza hela yote inaishia kwa bi mdogo
 
Hii ndiyo afrika ingawa kiwango cha gesi kikubwa kimepatikana sidhani kama kitamsaidia mwananchi kama huyu asiendelee kutumia kuni

Angalia na upande wapili: Kipato kikubwa kitokanacho na kazi hii kinaishia kwenye michepuko, kiduchu kinaenda kwa familia.
 
Back
Top Bottom