Search results

  1. Z

    Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

    Nipo nasikiliza zaidi kuliko kuongea.Kila kitu huwa kinaanzia rohoni.Mwanadamu mwenyewe ni mwili,roho na nafsi.
  2. Z

    Wanandoa hii hali imewahikukukuta?

    Mhh hapana.Hizo sifa zitakuja kuwa cost.Ulaji wa kupitiliza nao sio afya ni magonjwa
  3. Z

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom naomba msaada jinsi ya kuongea na mhudumu wenu kwa njia ya simu ukipiga 100. Mbona maongezi ni mengi na hayadirect kuongea na mhudumu kama unahitaji? Cha pili nahitaji maelekezo ya kutumia Mpesa master card.
  4. Z

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO .Nilitoa lalamiko langu hapa miezi miwili imepita.Tatizo langu limetatuliwa nusu na bado kukamilika.Nini tatizo.?Mbona muda wa kutatua unakuwa mrefu sana?Details zote niliwatumia PM.
  5. Z

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Siwezi kuweka details zote public.Naomba namba ya simu au email ya kukutumia hizo details.
  6. Z

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba mnisaidie kuwafatilia hawa Tanesco Mbagala.Tumelipia nguzo toka March lakini mpaka leo ni kalenda za kuwekewa umeme.Mwezi wa tisa wameleta nguzo na wamezibwaga chini.baada ya mwezi wamekuja kuzisimamisha lakini mpaka sasa hawataki kuunganisha umeme.Tatizo hasa ni nini?Mbona mnafanya kazi...
  7. Z

    Nakupenda lakini umechelewa

    Nipo.Miss you more
  8. Z

    JamiiForums Legends of ALL Time

    Miss you sana.Hadi nasahau jinsi ya Ku quote
  9. Z

    You're making a very big mistake to allow your wife to work..

    I agree 100%.Katika mahusiano ,mwanaume asikutoe katika malengo yako na ndoto zako sababu kesho yako au ya huyo mwanaume huijui anaijua ni Mungu tu
  10. Z

    Mauongo ya wanawake yanayowakera wanaume

    Kuuliza uliza sana history sometimes sio fresh.Kama mnapendana ukishajua wapenzi wake wa zamani then what?Na hapo kwenye pesa,mwanaume usiogope ku take care ...Shikamoo Mtambuzi
  11. Z

    Am I a loner,selfish?

    Ni kawaida tu .Watu tumeumbwa tofauti.Labda kama unajisikia sad
  12. Z

    Weekend Story: You Can't Handle The Truth

    Thanks lara 1 .Good ending nice story
  13. Z

    Jumamosi hii Zinduna Talk Show Madame B Mjengoni!

    Madame B nipo mama.Sijui kama MMU ile itarudi.Kila nikipita kusalimia humu nakuta majina mapya kabisa.
  14. Z

    Nimebadili dini lakini mpenzi wangu hajui, nimeamua nimuache

    Sasa kama umefuata haki na ukweli kwa nini unamdanganya huyo mwenzio kwa kutomwambia ukweli?Ngastuka
  15. Z

    Jiji la Mbeya a.k.a Green City laanza kuchipua upya

    I love Mbeya tatizo baridi too much
  16. Z

    Tuliotelekezwa na baba zetu tukutane hapa

    Ukimtumaini mwanadamu utapata shida sana.Wote ambao hamjapata Upendo wa baba/mama au hamjalelewa nao kwa sababu yoyote mfanyeni Mungu kuwa Baba/Mama na maumivu yote yataisha.
Back
Top Bottom