Miss you sana.Hadi nasahau jinsi ya Ku quoteNIMESHANGAA MPAKA NO 5 HUJANITAJA WAKATI ULIKUWA UNAKAMUA KWENYE THREAD ZANGU ZA MAMA PAROKO, MFUNDAJI WA KISASA AISEEEE SIKUMBUKWI HATA HAPA
Paloma,
Zion Daughter
Heaven on Earth
charminglady
miss chagga
amefariki tayari rip@SHY
Daa sijui nisemeje kuhusu huyu mzee wa mapichapicha. Kama angekuwa na ID nyingine kwa staili ile ningekuwa nishajua kama kabadili ID
Mlenge
Wejemeni!Mlenge
Unaguna nini sasa!? Hebu acheni uvivu, muwe mnaingia mnatupia vitu humu tuwe tunajisomea.
Glad to see I'm still remembered. Getting old though!Ab-Titchaz
Steve Dii
Mwafrika wa Kike
Icadon
Kithuku
Moshe Dayan
Manda
Kana Ka Nsungu
Orodha iendelee.
Umefanya vema kushukuruJF ilinisaidia sana kukamilisha tasnifu yangu pale Swansea miaka 10 iliyopita. Nawiwa kuwashukuru sana.