Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Compact uko wap njooo uku Lara kampa ushindi collins
Aiseee weekend ilinilemea mpaka sikusoma story yetu tamu.......aisee lara 1 amefanya jambo la maana sana. Naomba usiendeleze teinah! Iqra kashakuwa muke halali ya Collins..
 
hahaaaaaaa itakuwa balaaaa mbona hapo wazazi wao wanakuwa umri umeshaenda sasa
 
Inshaalah tukijaliwa heri, ikija PART 2 ITAKUWA YA WATOTO SASA KINA ETHAN, MTOTO WA CARINA, WATOTO WA MUDDY, MTOTO WA COLLINS. Hivo yani ila sio utatu wa Iqra, Collins na Walter.
ni sawa ila ile last statement ya walter you cant handle the truth lazma tujue mwisho wa wake.... nweis inshalah kheri lets wait itokee part II Tujuze tu wakat ukifika
 
Lara salute kwako...una kipaji cha pekee..reading u has no difference na nikiwa namsoma Sydney au Danielle
May th good Lord bless u ili kipaji chako kikupe pesa na ujulikane duniani kote
Wish to see u tho.ha ha haaa lol
 
namkata spidi huyo kiazi si unajua tena.......akionyeshwa ukarimu kwa malaiki hakawii kugongea kimaukweli kweliii.

Ofcoz mwenyewe nimeloa nasikilizia hisani tu hapa sasa tukiwa wengi makelele sholi ataona tunazingua tu au tunampanga dizaini za walter, si unaona dem mwenyewe mjanja anastukia manyuzi. game anajua so humpigi saundi kilaini lazima ukaze
Hapo umesema ukweli kabisa.
 
Asante sana Lara1 yaani ninkama vile nimesoma novel ya Chase.
May God keep on Blessing you, may he show you direction and soon ujekua Director na mtunzi Bingwa wa Movie hapa Africa na Duniani kwa Ujumla.
 
Back
Top Bottom