Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,251
- 2,030
Mwanaume anakula na kumaliza hotpot ww unakwama wapi.
Mwanaume anakula na kumaliza hotpot ww unakwama wapi.
Yaani unijazie chakula ninenepe nife? Ndio maana majitu yakioa yananenepa kama kitimoto mwisho wa siku sukari na presha halafu nguvu za kiume zinakuishia unachapiwa ndoa inavunjika. Kula kwa kiasi na ule chakula kilicho balance diet zote.
Mie najipakulia mwenyewe na nakula chakula kidogo, matunda kwa wingi na mboga mboga. Huyo mkeo hana elimu ya lishe bora
Mke wako utakuwa MJITA si bure.Ndoa zina mengi.
Mimi nimeoa huu mwaka wa 5 na tuna mtoto mmoja. Tatizo: Mke wangu akinitengea chakula anataka nimalize chote hata nikishiba. Nikibakisha tu nyumbani hapakaliki, ataanza kulia usiku kucha na maneno mara kwahiyo mimi sijui kupika, mara mbona mgahawani huwa hubakishi na maneno mengi.
Tatizo mimi si mlaji sana, na nilisha mweleza awe ananitengea kidogo ili nikimaliza aniongezee lakini wapi, huwa anajaza sahani yangu mpaka nasema hiii bagosha huu mlima kilimanjaro nitauweza kweli? Siku zingine najikaza namaliza kwa mbinde ili kuzuia vita lakini sometimes nashindwa.
Sijajua tatizo ni nini, nikibakisha tu naye anazira kula, anaondoka dining namkuta chumbani analia.
Wakuu hili tatizo umewahi kukumbana nalo? ulisovuje?
Haya ndo madhara ya kutoka kibaruani na kwenda home moja kwa moja. Sisi walume tukitoka kuwajibika breki ya kwanza bar ... tunapiga ugimbi wa kutosha Tukirudi home tuko bwii, wife kashalala... akijishaua akaamka umamnenea kwa lugha, mwenyewe anarudi kitandani kiroho safi kabisaNdoa zina mengi.
Mimi nimeoa huu mwaka wa 5 na tuna mtoto mmoja. Tatizo: Mke wangu akinitengea chakula anataka nimalize chote hata nikishiba. Nikibakisha tu nyumbani hapakaliki, ataanza kulia usiku kucha na maneno mara kwahiyo mimi sijui kupika, mara mbona mgahawani huwa hubakishi na maneno mengi.
Tatizo mimi si mlaji sana, na nilisha mweleza awe ananitengea kidogo ili nikimaliza aniongezee lakini wapi, huwa anajaza sahani yangu mpaka nasema hiii bagosha huu mlima kilimanjaro nitauweza kweli? Siku zingine najikaza namaliza kwa mbinde ili kuzuia vita lakini sometimes nashindwa.
Sijajua tatizo ni nini, nikibakisha tu naye anazira kula, anaondoka dining namkuta chumbani analia.
Wakuu hili tatizo umewahi kukumbana nalo? ulisovuje?
Kha!kha!, Mimi Wakwe zangu sio wanga ni Wacha Mungu Sana.Umeshaharibu hali ya hewa tayari. Wafipa na Waha ile ni habari nyingine kabisaaaa.....wanakupa chakula kingi, ndani wamechanganya na matunguli yao, unakula mpaka unazirai, usiku wanakubeba kwenda kukutumikisha kuona kama unajuwa kazi ili wakusifie mkwe ni mchapakazi. Unashangaa ulipewa chakula kula ukiwa msafi, unaamka baada ya kuzirai uko mchafu na nguo zote hazitamaniki.
Wacha Mungu machoni mwako ila usiku wana yao....wale kuwanga ni jadi kwao. Umeshawahi kujiuliza kwanini wacha Mungu wengi sana ni wanga/wachawi? Chanzo ni kwa sababu wanafanya vile kupotosha watu.Kha!kha!, Mimi Wakwe zangu sio wanga ni Wacha Mungu Sana.
Siku nyeginee ukimuona mkewako anaanza kukupakulia. Mpigie mwana Jf wa karibu nawe aje akusaidie..Ndoa zina mengi.
Mimi nimeoa huu mwaka wa 5 na tuna mtoto mmoja. Tatizo: Mke wangu akinitengea chakula anataka nimalize chote hata nikishiba. Nikibakisha tu nyumbani hapakaliki, ataanza kulia usiku kucha na maneno mara kwahiyo mimi sijui kupika, mara mbona mgahawani huwa hubakishi na maneno mengi
Tatizo mimi si mlaji sana, na nilisha mweleza awe ananitengea kidogo ili nikimaliza aniongezee lakini wapi, huwa anajaza sahani yangu mpaka nasema hiii bagosha huu mlima kilimanjaro nitauweza kweli? Siku zingine najikaza namaliza kwa mbinde ili kuzuia vita lakini sometimes nashindwa.
Sijajua tatizo ni nini, nikibakisha tu naye anazira kula, anaondoka dining namkuta chumbani analia.
Wakuu hili tatizo umewahi kukumbana nalo? ulisovuje?
Mmhhh!!!!,Wewe wasema.Wacha Mungu machoni mwako ila usiku wana yao....wale kuwanga ni jadi kwao. Umeshawahi kujiuliza kwanini wacha Mungu wengi sana ni wanga/wachawi? Chanzo ni kwa sababu wanafanya vile kupotosha watu.
Unahitaji pole nyingi.Dah...mi mke wangu hajawahi kunipikia wala kunipakulia abadan asilani kudadadeki!!!! kilakitu napata toka kwa beki tatu....hapa sina ushauri wowote...kumbe kuna watu mnapakuliwa? kha hongereni
Bonge la ushauri. asante, ntafanya hivyo japo amekasirika kweli kweliAah,mi mwenyewe nataka nkimpikia mme wangu ale sana sema ndo hvo so mlaji kiivo ko simaindi sana,sikia sasa emu jaribu hii apakue chakula mle wote afu ule taratbu na story kibao mpaka yeye anashiba nadhan na wewe utakuwa unashiba na pengine anaweza akawah yeye kushiba hyo itapunguza kero,ila inaonekana unakula haraka haraka ndo maana unawah kushiba
Mhh hapana.Hizo sifa zitakuja kuwa cost.Ulaji wa kupitiliza nao sio afya ni magonjwaMkuu iyo ni kawaida sana...mimi nina mwaka na... Hakuna kitu wake wanapenda kama sifa. Mume akishiba anajisikia vizuri sana,usiposhiba anahisi umekula sehemu au hujapenda chakula chake. Pia mume akiwa na afya mke anasifiwa anajua kulisha na kutunza anaepuka maneno toka kwa mawifi au mama mkwe.
Tena mpende sana mkeo mana anakujali,kuna wake wengine akitenga chakula yuko chumbani anachat,kula usile utajua mwenyewe.
Itoshe tu kusema ANAKUJALI.
Yeah mpoze jaman si unajua mapenzi tena hakuna kukuaBonge la ushauri. asante, ntafanya hivyo japo amekasirika kweli kweli
😀😀Huu unyanyasaji sasa, wahi dawati la jinsia.
Hey umelala😀😀Huu unyanyasaji sasa, wahi dawati la jinsia.