Search results

  1. A

    FT: CCL: Yanga 5-1 Asas FC | Azam Complex| 26/08/2023

    Robo ya timu hawata rudii kwao Sudan watatoroka Kariakoo.Maisha ya Sudan na vita ni magumu sana.
  2. A

    FT: CCL: Yanga 5-1 Asas FC | Azam Complex| 26/08/2023

    Kipa umri wake hauzidi miaka 16 ukatili dhidi ya Watoto.
  3. A

    FT: CCL: Yanga 5-1 Asas FC | Azam Complex| 26/08/2023

    Kipa umri wake hauzidi miaka 16
  4. A

    FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

    Uwanja wamewagia maji mengi makusudi kumbuka hapo ni shambani.Angalia kwa mbali kuna mashine inamwagilia miwa.
  5. A

    FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

    Uwanja wamewagia maji mengi Wachezaji wanateleza sana.
  6. A

    Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

    Wapo 8 uwanjani na hawana sabu wakitoka Wachezaji 2 mpira unaisha.
  7. A

    FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    Robertinho siyo kabisa katukositi mpaka usajiri wa kipa
  8. A

    FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    Kapombe leo anashida gani?Hayupo fit kabisa hajatulia na wemegeuza uchochoro.
  9. A

    Mshahara wangu sijaupata account ilikuwa blocked, nifanyeje?

    Angalia kadi yako ya ITM itakuwa expired huwezi toa hela.
  10. A

    Miaka kumi ijayo, mabenki yatakosa soko

    Mkuu kuhusu usalama umewaza?Hivi kwenye simu yako umeweka 1bilioni utakuwa na amani? Hela ikiwa kwenye simu hainatofauti sana kuwa mfukoni.Unaweza weka hiyo 1 bilioni mfukoni utakosa amani tu.
  11. A

    DODOMA; Wabunge Washindana kula Ubwabwa!

    Wanatuchukulia poa sana Watanzani subiri mwezi wa Saba watajua hawajui.
  12. A

    Je, inawezekanaje watu milioni 60 kuwalillia kwa machozi ya damu watu wasiozidi 20 na bado wakaleta dharau?

    Kweli Mkuu muda ni mwamuzi mwache ashupae shingo kama Farao.
  13. A

    Tundu Lisu: Kila anayeusoma Mkataba wa TPA na DP World huko Duniani anatuona Watanzania milioni 61 hatuna akili!

    Mama huyu ana roho ngumu sana Mungu wa mbinguni atatupigania.
  14. A

    Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

    Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan. Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
Back
Top Bottom