Search results

  1. R

    Chama Cha Mapinduzi-huruma!

    Habari zenu wanasiasa. mwenzenu leo nimekuta mkutano wa ccm! jamani wanatia huruma ati! huku mazimbu, Morogoro kulikuwa na mkutano wa ccm kama walikuwa wengi basi walikuwa watu 50! na kijani zao! lo, kweli kimechokwa hiki chama! chakushangaza zaidi nilipokuwa kwenye daladala, kila mtu akaanza...
  2. R

    Nani yuko macho tupige stori?

    habari wapendwa. mimi usingizi umegoma, ambaye hajalala karibuni kwa stori.
  3. R

    natamani kumpata mwanaume mkweli....!

    habari zenu wanajamvi, kweli, natamani sana kuwa na mwanaume mwema, mwenye upendo wa kweli, anaejali, na mwenye utu. lakini kulingana na hali halisi ya wakati huu, mawazo hayo ni hadithi. kumpata mwanaume wa staili niitakayo inakuwa ni bahati ya kuzaliwa. hivyo nimeamua kutazama kama vile...
  4. R

    company yenu wapenzi.

    mmeshindaje wanajamvi? mie mwenzenu jumapili ya leo nimeboreka kama nini. ukinipa company hata ya kuchat nitashukuru. karibuni.
  5. R

    kwa wale walioko Morogoro maeneo ya mjini.

    habari zenu wanajamvi. naombeni msaada wenu, nina mdogo wangu kamaliza cozi ya secretary bado hajapata ajira, mwenye kazi hata ya stationary jamani, hata kama rafiki yako anayo, nisaidien tafadhali. natanguliza shukrani.
  6. R

    rafiki, rafiki, rafiki.

    habari wadau, mimi ni msichana mwenye sura mbaya kadiri ya maoni ya wengi, umbo baya, lakini roho ya ukatili sina na ni mcheshi, kugombana na mtu sijui. nataka rafiki wa kiume awe na umri miaka 36-40. karibuni wanaume kwa bintimbaya.
  7. R

    mmeridhika?

    habari wadau, naomba kuuliza, hivi wote mmeishapata wachumba (wenzi)? kama bado mnasubiri nini?
  8. R

    hebu angalia hesabu hii kwa mwezi

    kipato changu kwa shughul mbalimbali sh.800,000 kwa mwezi, mapato kutoka PERFECT APPLICATION au PERFECT INTERNET sh.5,000,000/ kwa mwezi, na inategemea bidii katika kufuata maelekezo, inaweza kuwa zaidi ya hapo. naomba msinielewe vibaya, nilikuwa nikiwaomba sana watu wajiunge na PERFECT...
  9. R

    pata sh. 1,500/ kila saa.

    je unajua kwamba unaweza kutengeneza mshiko kimtindo? yaani wewe pamoja na rafiki zako, rafiki zako na rafiki zao.... na kuendelea mnaweza kutengeneza kipato kizuri bila kutegemea. bonyeza hapa http://www.perfectapp.biz/refid=95462b893a
  10. R

    bonyeza hapa ujionee

    ndugu yangu unayesoma hapa, ebu bonyeza hapa upate faida http://www.perfectapp.biz/refid=95462b893a laiti kama ungeelewa faida yake wala usingesita kubonyeza nipm nikupe uhondo.
  11. R

    ambaye hajalala

    habari za usiku huu wewe unayesoma hapa, kama huna usingizi nipm tuchat
  12. R

    mafuta ya mbegu za mawese

    habari zenu wapenz, natumaini mko poa. naombeni mwenye kujua yanapouzwa mafuta ya mbegu za mawese, nahitaji kuwasiliana na muuzaji kama unauza au una rafiki yako anauza, nipm tuongee biashara. au hata kama unajua yanapouzwa tafadhali nielekeze
  13. R

    USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

    Mimi ni msichana bado sijaolewa, kabla sijasema kama natafuta mchumba au la, naomba kuuliza kama kuna aliyewahi kupata mwenzi humu na wapo wanaishia vizuri.
  14. R

    ana mke na watoto 2 lakini kanizimikia.

    msaada wenu wandugu, huyu kaka tulisoma wote o-level hakuwai kusema chochote, baadae tumepotezana kwa miaka mingi, tulivoonana tena, akawa kama amechanganyikiwa kuniona, haamini. cha kwanza aliniuliza kama nimeolewa, nikamjibu bado, akasema "HATIMAYE NIMEMPATA MWANAMKE WA NDOTO ZANGU"...
  15. R

    ni kweli, sabuni ina povu!!!

    nawashukuru wote mlionipigia simu kwa ajili ya kupata sabuni nzuri yenye povu, na wale mnaoishi Dar itawafikieni msiwe na wasiwasi. nipo kwenye mchakato. KARIBUNI SANA
  16. R

    Je unatafuta kazi? Umeipata

    hata mimi kabla ya kufanya kazi hii, nilihangaika sana kama wewe, kakini sasa hivi nipo naenjoy maisha. karibu nawewe ujiunge pamoja namimi. sio uongo, ni biashara ya uhakika kwenye internet. ingia hapa upate maelekezo zaidi. http://www.perfectapp.biz/refid=95462b893a
  17. R

    Unajua kutafuta pesa? Jifunze hapa, siyo freemanson.

    Habari wapendwa, ni ukweli, ni uhakika na ni muhimu. mimi mwenyewe nimefaidika na nataka na wewe ufaidike kama mimi. ebu bonyeza hapa na utaona faida yake we ingia utakuja kunambia! http://www.perfectapp.biz/refid=95462b893a
  18. R

    Sabuni ya mche nzuri yenye povu kwa maji ya chumvi

    Habari wana jf, ninauza sabuni za mche kwa bei poa, ni nzuri, nyeupe na ina povu jingi hata kwa maji yenye chumvi kama ya Dar es salaam na sehemu nyinginezo. nauza jumla na lejaleja. kama unataka nitafute hapa 0784989245 nipo Morogoro. Hakika ukiitumia utanitafuta tena. ni tofauti na...
Back
Top Bottom