kwa wale walioko Morogoro maeneo ya mjini.

kwa wale walioko Morogoro maeneo ya mjini.

rugwebe78

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
265
Reaction score
78
habari zenu wanajamvi. naombeni msaada wenu, nina mdogo wangu kamaliza cozi ya secretary bado hajapata ajira, mwenye kazi hata ya stationary jamani, hata kama rafiki yako anayo, nisaidien tafadhali.

natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom