Chama Cha Mapinduzi-huruma!

rugwebe78

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
265
78
Habari zenu wanasiasa.
mwenzenu leo nimekuta mkutano wa ccm! jamani wanatia huruma ati! huku mazimbu, Morogoro kulikuwa na mkutano wa ccm kama walikuwa wengi basi walikuwa watu 50! na kijani zao! lo, kweli kimechokwa hiki chama!
chakushangaza zaidi nilipokuwa kwenye daladala, kila mtu akaanza kuwacheka na kusema aliloweza! nilichojiuliza ni kwamba, ndani ya daladala ina maana watu wote walikuwa ni wa upinzani?

tena mama mmoja akasema, nanukuu "kabla sijawajua ccm nilisema sitakuja kukiacha hiki chama, baada ya kuwajua, loo! sina hamu nao" akasema tena kwamba anatamani hata huo mkutano usingepata watu kabisa.

mmm!! yangu macho 2015, kimbembe!
 
Bavicha bana badala ya kumuonea huruma Dr.Slaa anavyochezea vitasa Kigoma
 
Breaking news;- slaa adhalilishwa kigoma kaskazini jioni hii. Akimbia mkutano:

Wakuu,

Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.

Taarifa kamili ni kama ifuatavyo

(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.

SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.

(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.

NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.

KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''

namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''
 
Hahahaaaa basi hawakua na hasira maana kuwa na hasira halafu mvua ikuzuie kutimiza azma yako. ILA mvua hio hio iliwafanya wengine wabaki!!! Mvua hii ni ya ajabu ita idi iingie kwenye vitabu vya kumbukumbu. Longlive Dr.Slaa
 
Breaking news;- slaa adhalilishwa kigoma kaskazini jioni hii. Akimbia mkutano:

Wakuu,

Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.

Taarifa kamili ni kama ifuatavyo

(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.

SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.

(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.

NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.

KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''

namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''
Nilishakuambia uelewa wako ni finyu,haukumuelewa BABA WA TAIFA alichokuwa anamaanisha kunako hicho kisindikizo chako,hivyo ni vyema usikitumie wewe paka shume.
 
Habari zenu wanasiasa.
mwenzenu leo nimekuta mkutano wa ccm! jamani wanatia huruma ati! huku mazimbu, Morogoro kulikuwa na mkutano wa ccm kama walikuwa wengi basi walikuwa watu 50! na kijani zao! lo, kweli kimechokwa hiki chama!
chakushangaza zaidi nilipokuwa kwenye daladala, kila mtu akaanza kuwacheka na kusema aliloweza! nilichojiuliza ni kwamba, ndani ya daladala ina maana watu wote walikuwa ni wa upinzani?

tena mama mmoja akasema, nanukuu "kabla sijawajua ccm nilisema sitakuja kukiacha hiki chama, baada ya kuwajua, loo! sina hamu nao" akasema tena kwamba anatamani hata huo mkutano usingepata watu kabisa.

mmm!! yangu macho 2015, kimbembe!

Tatizo morogoro ni wanafiki! Ni mkoa ulioongoza kwa kuchagua magamba
 
Back
Top Bottom