Search results

  1. east36

    Etoile du Sahel na Esperance de Tunis kundi moja CAFCL

    Habari wanajamvi, hili swala limekuwa likinifikirsha kwa muda sasa. Imekuwaje katika kupanga makundi ya ligi ya klabu bingwa Afrika(CAFCL), timu mbili za kutoka Tunisia kupangwa kundi moja? Katika kundi C kuna Etoile du Sahel na Esperance de Tunis. Je inawezekana kuna msimu Yanga na Simba...
  2. east36

    Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Mungu akujaalie upate rizki halali.
  3. east36

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Kama kampuni imesajiliwa brela usikubali matokeo kirahisi hivi. Cha mwanaume hakipotei tu hivi hivi pambana nenda polisi fungua kesi.
  4. east36

    Msaada: PC yangu inasumbua

    Hiyo inaitwa bluescreen of death. Kwakua umeshabadili windows shida itakuwa hard drive jaribu kubadili.
  5. east36

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Come on you Gunners!!!!
  6. east36

    Wakosoaji wa barua ya kiingereza ya Nape wao kiingereza ndio hawajui kabisa

    Hilo neno moja halina kosa ila namna maneno yalivyotumika, makosa ni mengi mno katika hiyo barua. Kama wewe pia hujaona hayo makosa huna akili kama mleta mada na elimu kama unayo haijakusaidia kitu.
  7. east36

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
  8. east36

    Window inakataa Kuinstall

    Ukitumia windows nyingine ikikataa, jaribu kubadilisha Hard disk.
  9. east36

    Kutana na Toyota Rumion New Model 7seater

    Mkuu bongo watu wameamka? Wakati gari ya Serikali hiyo.
  10. east36

    Wakazi wa Kigamboni tudai haki yetu ya kutumia daraja bila tozo

    Leo nimetoka pia kwa reverse hahaha kazi kweli kweli pale.
  11. east36

    Kwa wale wapenda movie. Karibu nikusaidie kuipata

    Ni promotion unafanya? Unakaribia kufungua movie center?
  12. east36

    Kwa Submersible Pump ya 0.5 HP, nahitaji generator la KVA ngapi?

    Kwa nini usitafute inayotumia umeme wa jua? Nikimaanisha ‘solar’.
  13. east36

    Msaada: Hapa nimedisco au?

    Makalai ya kutosha. Cha muhimu hujasup Hongera.
  14. east36

    I am seeking advice as an American moving to Tanzania

    What do you plan to do to earn for a living during your stay here?
  15. east36

    Baadhi ya Majina yalioshiriki kuandaa GENOCIDE ya Rwanda by WIKIPEDIA

    Unachoandika hakieleweki kabisa.
  16. east36

    INAUZWA HP Scanjet Pro inauzwa

    Ni laki 5, yaani tsh. 500,000. Jaribu kuulizia bei yake madukani utapata ukweli.
  17. east36

    INAUZWA HP Scanjet Pro inauzwa

    Karibu mkuu.
Back
Top Bottom