Search results

  1. H

    Setting za kujua waliokupigia wakati umezima simu yako (MTANDAO WA TIGO)

    Habari Zenu Waheshimiwa……!!!!!!! Naomba kufahamishwa Settings za MTANDAO WA TIGO au Codes za Kujua alie kutafuta hewani/Au alie Kupigia wakati simu yako ikiwa Off Line/Au ikiwa Imezimwa………!!!!!!! Kwa mfano MTANDAO WA VODACOM kama uko Tanzania ukibonyeza hizi Code *62*0754125125# Ukiwa...
  2. H

    Tatizo la Galaxy s5 kukwama kwama, naomba msaada

    Habarini wapendwa. Natumia Samsung Galaxy s5 original yenye warranty ya two year's niliinunulia pale posta makao makuu ya Samsung J M Mall Sasa tangu jana simu inastuck mara kwa mara.. mfano nikifungua Gallery au INSTAGRAM AU WHATSAPP YAAN APP YOYOTE ILE inajifungua taratibu mno tofaut na...
  3. H

    Whatsapp inagoma kuingia kwenye windows phone

    Hellow ndugu zangu, mdogo wangu kaniletea simu yake mpya hivi simu za WINDOWS PHONE nimsaidie kumuwekea whatsapp, viber etc. Sasa kila napoidownload inaniletea maandishi haya THIS APP IS NOT AVAILABLE FOR YOUR DEVICE, TAP HERE FOR MORE INFO, NA NIKI TYPE INAANDIKA APP NOT AVAILABLE,THIS MIGHT...
  4. H

    Nawatafuta Robby Matiko na Fadhila Stambuli

    Robby Matiko na Fadhila STAMBULI nawatafuta popote Mlipo natumai kwa uwezo wa ALLAH SW bado Muhai na Mumzima wa afya ..sijui ROBBY MATIKO uko KIGOMA au nchi gani tafadhali popote ulipo njoo PM ulikua best friend wangu KUNDUCHI HIGH SCHOOL 2003-2004 PAMOJA NA FADHILA STAMBULI tafadhali...
  5. H

    kati ya hizi smartphone htc na samsung ipi yenye camera nzuri zaidi?

    Waungwana mwenye uelewa anifahamishe nahitaji simu yenye camera kali kati ya hizi mbili nshatumia sana HTC ONE kwa upande wa Samsung Sina ufahamu nazo zaidi.....nahitaji Smartphone yenye Camera bomba bila ya kuload CAMERA 360 kati ya izo simu ipi yenye Camera Kali zaidi???????????? Atlist...
  6. H

    Imediatelly help to My HTC ONE pls!!!!!!!

    Salaam Buddies!!!!!!!!! Natumia HTC ONE na haijawahi kunisumbua ata kidogo ila tangu majuz Nikitaka kudownload app yoyote ile kwenye Playstore inagoma na kuniletea sms hii ATTENTION A NETWORK ERROR HAS OCCURRED RETRY OR CANCEL AND RETURN TO THE PREVIOUS SCREEN......na kila niki RETRY inaleta...
  7. H

    nifahamisheni namna ya ku upload picha JF kwa kutumia simu!!!!!!

    Polen kwa majukumu Naomba mnifahamishe namna ya kuweka picha JF kwa kutumia simu ya mkononi Ahsanteni
  8. H

    Huduma ya WHATSAPP inalipwa wapi tafadhali????

    Habari zenyu wakubwa!! Samahani.....kwa anaye fahamu anijuze hii huduma ya WHATSAPP inalipwa wapi?????? Wamenifungia hii huduma mpaka niilipie,,,,,ni wapi niende nikalipie,,??nifahamisheni tafadhali!!
  9. H

    Huduma ya WHATSAPP inalipwa wapi? nifahamisheni tafadhali

    Shehima zenu wakubwa!! Naomba mnisaidie simu yangu imegoma gafla WHATSAPP inanipa text kua natakiwa kulipia ndipo nipate huduma Nifahamisheni namna ya kulipia,,wapi ntafanya hayo malipo ili niendelee kupata huduma hii????? Naomba mnielekeze tafadhali!!
  10. H

    ivi bb inakubali instagram?????????????????

    wakubwa,,,,,ivi blackberry inakubali instagram???????? na kama haikubali simu gani yenye kukubali instagram,,,,whatsapp,,fb..tweeter,,viber,, na acesories nyingine za kijamii????????? KUULIZA SI UJINGA NIFAHAMISHENI WASOMI!!:help: NB. HIYO SIMU ISIWE SCREAN TOUCH ILA IWE NA QWERTY PAD..NO...
  11. H

    Ana Papuchi"K" ndogo sana,,her match is needed!!

    Habari zenyu wapenzi!! Mmoja wa dada yenu ana papuchi ndogo sana yaan kashimo kadogo sana....kadogo haswa kwa mujibu wa maelezo yake ivyo basi mwenye UUME mdogo sana kuanzia inchi 3 tu kurudi nyuma ata inchi 2 au inchi 1 aweke contact zake au ani PM kwa contact zake nimpatie namba zake...
Back
Top Bottom