Polen kwa majukumu
Naomba mnifahamishe namna ya kuweka picha JF kwa kutumia simu ya mkononi
Ahsanteni
sungura1980 mi bado natumia telex
Polen kwa majukumu
Naomba mnifahamishe namna ya kuweka picha JF kwa kutumia simu ya mkononi
Ahsanteni
Polen kwa majukumu
Naomba mnifahamishe namna ya kuweka picha JF kwa kutumia simu ya mkononi
Ahsanteni
Bado niko gizani
Tungo tata wakuu

Hiyo picha unaitoa mtandaoni au katika simu yako?
Naweza mkuu ila kuiweka hapa JF ndio nashindwa kabisaunaweza au huwezi kuattach pic toka mtandaoni?
simu yako unavyo surf Jf page inaonekana kama hzo attachement hapo chni?
kwenye hili hili jukwaa angalia ile sticky ya kwanza ina maelezo mazuri kabisa yanayojitoshereza
Naweza mkuu ila kuiweka hapa JF ndio nashindwa kabisa
ok, here's a solution that sort of works that i found. Listen (or read) careful, Reply hii comment, then go to attachment, upload pic yako, ikimaliza ifungue then copy its address back and use it kuattach kama unavoattach other pics from other sites. You did say you know how to do that