Hahaha bank
Kwa yoyote anaefahamu tafadhali anifahamishe
Ni wapi nikalipie hii huduma ya WHATSAPP?????
Install thats how we do tangu enzi
Hiyo hailipiwi bali inakuwa ime-Expire, hivyo unachotakiwa kufanya ni ku-Download upya katika simu yako kwenye Google. Ni hayo tu.
nikupe namba ya mpesa ya kulipia
Ahsante mkuu ila kila niki instal inanitumia text kua napaswa kulipia $0.99
+27782636207 ukipiga hiyo ndio namba yao ya customer care
fanya kufuta ya mwanzao afu tafuta nyingine kwenye google, sawa@howt lady