ivi bb inakubali instagram?????????????????

Howt Lady

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
1,519
470
wakubwa,,,,,ivi blackberry inakubali instagram????????

na kama haikubali simu gani yenye kukubali instagram,,,,whatsapp,,fb..tweeter,,viber,, na acesories nyingine za kijamii?????????

KUULIZA SI UJINGA NIFAHAMISHENI WASOMI!!:help:

NB. HIYO SIMU ISIWE SCREAN TOUCH ILA IWE NA QWERTY PAD..NO TOUCH PLEASE!!!!!!!!!!!!
 
simu ambazo zinazokubali instagram,,, android os,,, mfano samsung , tcno, htc.. bb hzikubali coz wao wanatumia os tofauti..... so tafuta simu kama hzo kama unataka application nyingi
 
shukran sana
mfano htc chacha inakubali mkuu????samsung yoyote ile inakubali?????????yaani namaanisha iyo list ulonitajia hapo ni ya simu yoyote ile?haijalish ni model gani si ndio mradi ni android os???????
 
simu ambazo zinazokubali instagram,,, android os,,, mfano samsung , tcno, htc.. bb hzikubali coz wao wanatumia os tofauti..... so tafuta simu kama hzo kama unataka application nyingi

Mbona Humwambii za IOS
 
Hakuna instagram kwa ajili ya Blackberry, pamoja na z10 au BB10 yoyote. Ila kwa vile z10 inaweza kurun apps za Android watu wanaifoji instagram ya android na kuiweka humo, kuna baadhi ya features nadhani hazifanyi kazi.

Instagram wako officially simu za Android na iPhones pia unofficialy Windows Phone 8.
 
Kaka we uliza cm za android tu.zingine hapana.hata hao sumsung kuna baadhi azikubali hizo feature ulizo taja.mm natumia sumsung wave 3;lakini hamna kitu pamoja na kuwa na bei ya laki 5
 
ahsante sana mheshimiwa ntafanya ivo ila mimi ni dada
 
Hakuna instagram kwa ajili ya Blackberry, pamoja na z10 au BB10 yoyote. Ila kwa vile z10 inaweza kurun apps za Android watu wanaifoji instagram ya android na kuiweka humo, kuna baadhi ya features nadhani hazifanyi kazi.

Instagram wako officially simu za Android na iPhones pia unofficialy Windows Phone 8.
asante sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom