Whatsapp inagoma kuingia kwenye windows phone

Howt Lady

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
1,519
470
Hellow ndugu zangu, mdogo wangu kaniletea simu yake mpya hivi simu za WINDOWS PHONE nimsaidie kumuwekea whatsapp, viber etc.

Sasa kila napoidownload inaniletea maandishi haya THIS APP IS NOT AVAILABLE FOR YOUR DEVICE, TAP HERE FOR MORE INFO, NA NIKI TYPE INAANDIKA APP NOT AVAILABLE,THIS MIGHT BE BECAUSE UR PHONE SOFTWARE NEEDS TO BE UPDATED,

sijaelewa namna ya kui update na simu ina salio la kutosha tu, tafadhali wenye kufahamu msaada cc CHIEF MKWAWA.
 
Ni simu gani hiyo? labda tuanzie hapa!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
hello ndugu zangu mdogo wangu kaniletea simu yake mpya hivi simu za WINDOWS PHONE nimsaidie kumuwekea whatsapp,viber etc sasa kila napoidown load inaniletea maandishi haya THIS APP IS NOT AVAILABLE FOR YOUR DEVICE,TAP HERE FOR MORE INFO,NA NIKI TYPE INAANDIKA APP NOT AVAILABLE,THIS MIGHT BE BECAUSE UR PHONE SOFTWARE NEEDS TO BE UPDATED,sijaelewa namna ya kui update na simu ina salio la kutosha tu,tafadhali wenye kufahamu msaada cc CHIEF MKWAWA
Taja model usaidiwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom