Search results

  1. radiation

    Maneno ambayo "wamama" wa kiswahili hupenda kuwaambia watoto wao

    Mama zetu wakati tunakua kuna maneno ambayo wanapenda sana kuyasema kwa watoto haswa watoto wakikosea kitu.
  2. radiation

    La Casa

    Wangapi mnaujua huu mjengo
  3. radiation

    Chukua haya mapapai uyapime Kovidii

  4. radiation

    Je, ulishawahi kukutana na Ambulance kwenye kituo cha mafuta (Sheli)

    Nimeendesha gari kwa miaka kadhaa sasa lakini sijawahi kubahatika kukutana na gari la wagonjwa likiwa sheli, ni mimi tu au kuna aliyewahi kuona Ambulance ikiwa sheli?
  5. radiation

    UEFA Europa League quarter-final draw

    Napoli (ITA) v Arsenal (ENG) Villarreal (ESP) v Valencia (ESP) Benfica (POR) v Frankfurt (GER) Slavia Praha (CZE) v Chelsea (ENG)
  6. radiation

    Mkuu wa Samsung Lee Jae-yong afungwa jela

    Mahakama nchini Korea Kusini imemhukumu bilionea anayetarajiwa kurithi kampuni Samsung Lee Jae-yong kifungo cha miaka mitano jela kwa makosa ya utoaji rushwa. Bw Lee alikuwa ameshtakiwa kuhusika katika rushwa katika kashfa ambayo pia ilichangia kuondolewa madarakani kwa rais wa zamani wa Korea...
  7. radiation

    Khaligraph Jones : Nataka iyo doh

    Mkali wa hip hop kutoka Kenya na Afrika Mashariki ameshusha ngoma mpya ambayo imethibitisha kua huyu jamaa ni mkali na hana mpinzani kwa sasa
  8. radiation

    msaada Vodafone Mobile Wi-Fi Version - 2.035.8384

    wakuu naomba mwenye kujua jinsi ya kureset password kwenye wi-fi router ya vodafone anisaidie nimeinunua kwa mtu (teja) na iko protected msaada kama naweza kutengeneza new password
  9. radiation

    kutoka MAKTABA Wema "MAMA ONGEA NA MWANAO"

    nauliza tu UADILIFU NA UAMINIFU kwa nchi bado vipo?
  10. radiation

    Bwana asifiwe

  11. radiation

    Dr. Ring Ding needle rylics

    - The Needle lyrics I am not a qualified physician And I don’t want to give this injection I am not a qualified physician And I don’t want to give this injection Dorothy is begging for trouble She insist I should give her this needle But, darling, one thing I want you know...
  12. radiation

    Mpe jina huyu

    jamaa mmoja alienda kwa mama muuza gongo(pombe) alivyofika aliagiza chupa tatu za pombe hio akazibugia zote na kuondoka kesho yake tena alirudi akaagiza chupa tatu tena akazifakamia harakaharaka kisha akaondoka siku nyingne alifka na kuagza tena yule mama muuzaji akamuuliza kwa nn kila siku...
  13. radiation

    msaada startimes sipati ITV, EATV, STAR TV, CLOUDS na TV 1

    wadau naombeni msaada kwani ni wiki zaidi ya pili sasa sipati hzo channel na nimekua nikifanya automatic search hua inaningizia chanel ambazo zimeandikwa PROGRAM natanguliza shukran
  14. radiation

    Ni kweli kila jambo linalotokea ni mpango wa Mungu?

    Habari wanaJF, Nimekuwa na utata ambao nimekosa majibu ya kuridhisha. Nimekuwa Nikishuhudia watu wengi kuhusisha baadhi ya matukio yanayowatokea na Mungu, kwa mfano mtu anaweza akapata ajali, kutokufanikiwa kwenye mambo yake, magonjwa, kifo nk. imekuwa kawaida watu kusema ni mpango wa Mungu...
  15. radiation

    Je ni "NDIO"au "NDIYO"

    Eti wadau wa jukwaa la lugha ni sahihi mtu kusema "ndio" au "ndiyo"??
  16. radiation

    Lipi ni neno refu la kiingereza?

    Wadau wa hili jukwaa naomba kama kuna mwenye kulijua neno refu kuliko yote la kiingereza anisaidie
  17. radiation

    Msaada wa kuweza kudownload play store kwenye nokia

    wadau wa hili jukwaa naombeni mwenye kujua link ambayo naweza kuitumia ili ni install google play store kwenye NOKIA E 5 anisaidie
  18. radiation

    Msaada: mwenye joining instruction used ya lyamungo

    wana Jf nimechaguliwa kujiunga kidato cha tano shule ya lyamungo PCB naomba kama kuna mwenye joining instructions hata ya mwaka jana aniandikie vitu muhimu +ada na michango mingine
  19. radiation

    Hivi ni ulimbukeni au ni hasira

    jamani hivi hawa jamaa wanaosubiri post nikutokuelewa au? kila siku ndani ya jukwaa unakuta new thread zaidi ya 5 ambazo zinaulizia post zinatoka lini hivi mnaona raha sana kupost au ni ulimbukeni tayari kuna thread ambazo zimetolewa ufafanuzi lakini cha kushangaza mtu anabadilisha tu headline...
  20. radiation

    Serikali yatoa tamko kuhusu polisi kupiga raia

    Serikali imetoa tamko bungeni kuhusu mauaji ya raia mikononi mwa polisi ikieleza kuwa sheria ya kanuni ya adhabu inaruhusu kutumia nguvu za kadiri hata kiasi cha kusababisha madhara au kifo. Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kunukuliwa bungeni akiwataka polisi...
Back
Top Bottom