wadau naombeni msaada kwani ni wiki zaidi ya pili sasa sipati hzo channel na nimekua nikifanya automatic search hua inaningizia chanel ambazo zimeandikwa PROGRAM
natanguliza shukran
Unatumia dish lao au unatumia antena za kawaida?kama ni antena za kawaida jaribu kubadilisha location ila kama unatumia dish na bado hupati basi wapigie simu uwajulishe kwa msaada zaidi.
Unatumia dish lao au unatumia antena za kawaida?kama ni antena za kawaida jaribu kubadilisha location ila kama unatumia dish na bado hupati basi wapigie simu uwajulishe kwa msaada zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.