Msaada wa kuweza kudownload play store kwenye nokia

Msaada wa kuweza kudownload play store kwenye nokia

Radiation

Platinum Member
Joined
May 28, 2013
Posts
333
Reaction score
305
wadau wa hili jukwaa naombeni mwenye kujua link ambayo naweza kuitumia ili ni install google play store kwenye NOKIA E 5 anisaidie
 
Mkuu, kuhusu hili futa kabisa kwenye mawazo kwa sababu haiwezekani kabisa
 
DOWNLOAD OVI STORE tena si ajabu ipo humo humo kwe simu.. kuna program nyingi pia kama PLAY STORE TU
 
Back
Top Bottom