Search results

  1. A

    Kama target ni ushindi, ni ujinga kumtema Lowassa

    Lengo kuu la chama chochote kile cha siasa ni kushika dola kwenye uchaguzi mkuu. Kama hii pia ndiyo shabaha ya CCM, basi ni wazi MAMVI ndo turufu halisi ya ushindi kwao. Ukijaribu kufatilia trend yake kila anapopita wakati wa kutafuta wadhamini, nachelea kuwashangaa wanaosema anawapa fedha...
  2. A

    Vyuo gani vinatoa diploma ya journalism Tanzania?

    Wadau naomba mnisaidie majina ya vyuo vinavyotoa diploma ya journalism hapa Tanzania coz kila niki-google nachemsha. Mkinisaidia vilivyoko dar es salaam ntashukuru zaidi
  3. A

    Unabii wa Rose Muhando unaenda kutimia uchaguzi huu

    https://www.filterbypass.me/anonsurf.php?u=3a3DJzChziHiLQHXBrUXAxImbrFrJmfakgED0%2BBoXubU5XGn%2Fjr2&b=9
  4. A

    Kitendawili

    Kitendawili!!!!! Ni mweupe Km Barafu, Na Ni mweuc Km Giza, Kuliwa Ni Haramu na ana manyoya mengi mwilini. Jina lake lina herufi (5) Na linaanzia Na Herufi (X). Wanaume huonana nae mara 3 kwa cku lkn wanawake humuona mara 1 ktk uhai wao wote. wafalme, maaskari, viongozi na wababe wanamuogopa...
  5. A

    Ccm hawautaki muungano, wanataka uvunjike!

    Nimeitafakari kwa makini dhamira ya CCM kung'ang'ania serikali mbili. Nimelazimika kuamini kuwa CCM hawautaki Muungano wetu. Nina hoja tano ambazo haziwezi kujibiwa kwa kufanya maboresho katika mfumo wa serikali mbili; zinahitaji mabadiliko ya mfumo. Kwanza, kwa kuwa katika mfumo wa serikali...
  6. A

    Serikali inamdhalilisha baba wa taifa

    Ama kweli ukifa huna dhamani. Baada ya Serikali kumpuuza baba wa Taifa kwa kuvunja Azimio la Arusha kipindi akiwa hai, sasa wamekuja na udhalilisho mwingine baada ya kuonesha kuwa baba wa Taifa alibadilisha sahihi yake ndani ya siku mbili (22/04/1964 na 24/04/1964). Angalia mwenyewe kwenye...
  7. A

    Natural justice ni haki ya kila mtuhumiwa au inategemea na aina ya mtuhumiwa?

    Naomba nianze nukuu mbili za waziri mkuu mstaafu EL alizotoa bungeni wakati akichangia repoti ya iliyokuwa kamati teule chini ya uenyekiti wa mtunzi wa kitabu cha "Pepo ya Mabwege" ndg. H. Mwakyembe. "Mheshimiwa Dk. Mwakyembe ni Mwanasheria, tena Daktari alikuwa anafundisha Chuo Kikuu. Moja...
  8. A

    Toa jambo unaloona ni fact

    Mfano: 1. Unauliza ndefu uarabuni!!! 2. Unauliza maandamano CDM!!! 3. Unauliza makofi polisi!!! 4. Unauliza paka wakati mkia unauona!!! 5. Unauliza ufisadi CCM!!! 6. Unauliza makofi polisi!!! 7. Unauliza kete casino!!! 8. ...............
  9. A

    Hata tukibisha Mustakabari wa Katiba yetu uko mikononi mwa wabunge wa CCM

    Lazima tukubali kuwa Mustakabari wa katiba mpya upo mikononi mwa wabunge wa CCM. Wingi wao unatishia kila uamuzi unaotumia kura. Ndo mana wengine tunataka kura ya siri tukiamini kuwa kuna wabunge wa CCM watapata nafasi ya kuchagua kinyume na matakwa ya CCM. Kosa lilishafanyika kuruhusu...
  10. A

    Pole sana mdau soka ndivyo lilivyo

  11. A

    Mwigulu yuko sahihi ila hatumuelewi tu

    Nimekuwa nikufuatilia mijadala/hoja mbalimbali ya/za Mwigulu; nimegundua kwamba jamaa yuko sahihi ila watu wengine ndo huwa hawamwelewi. Nitatoa mifano michache tu. Namba moja: Akichangia bungeni hoja ya Rais kuwa mdini, Mwigulu alisema "awamu ya kwanza Tanzania hakukuwa na udini, ikaja...
  12. A

    Kadi za triple na quadruple kwa ma-ustadh

    Kutokana na sherehe nyingi za harusi kuwa na kadi za mualiko za aina mbili tu, "single" na "double"; hali hii inawakosesha ma-ustadh wengi ambao wana mke zaidi ya mmoja kuhudhuria na kujinafasi pamoja na wake zao. Ili kuondoa aina hii ya "bias" ni bora sasa watu wote mtakao kuwa kwenye kamati...
  13. A

    Zawadi kwa atakaepigwa ban wa kwanza mwaka huu

    Wakuu nashauri tupendekeze zawadi kwa mtu atakaekuwa wa kwanza kupigwa ban mwaka huu 2014
  14. A

    Serikali tatu kwa jicho la tatu

    Wakati tume ya mabadiliko ya katiba ikiwa imewasilisha rasimu ya pili ya katiba, na kupendekeza muundo wa serikali tatu (Serikali ya jamhuri wa muungano wa Tanzania, Serikali ya jamhuri ya watu wa Zanzibar na ile ya jamhuri ya Tanganyika), jicho la tatu linahitajika kuona ni kwa jinsi gani...
  15. A

    Arsenal wana 80% kuwa kutwaa BPL msimu huu (2013/14)

    Katika Kipindi cha miaka 10 iliyopita ni timu mbili tu (Manchester utd msimu wa 2003/04 na Liverpool msimu wa 2008/09) ambazo zilishindwa kutwaa BPL zikiwa zinaongoza ligi kuelekea mwaka mpya. Hii inamaanisha kuwa Arsenal ambao wanaongoza ligi kipindi hiki cha mwisho wa mwaka 2013 wana 80%...
  16. A

    Mysterious circles (Winner takes the Earth) ni kitu gani

    Kuna vitu vya ajabu vimekuwa vikiendelea kushangaza duniani. juzi kwenye game ya Bayern munich vs Hearth Belin kwenye dimba la Lianz Arena na hata jana kwenye games za Chelsea vs Man city na Ile ya Juventus vs Genoa kumejitokeza watu (around 11) waliovaa mavazi meusi huku wakiwa na fulana zenye...
  17. A

    Madada wa saluni wananidatisha jamani

    Kiukweli wale wadada wa saluni za kiume ambao ukimaliza kushevu wanaacha kukupetipeti kwa mikono yao laini mi huwa wananidatisha sana. Kuna mmoja wa pale Sinza Mugabe ndo usiseme yani, yali yule binti ananifanya kila tunywele tukichomoza tu, niende nikapige unga wa nguvu ili aanze kunipaka yale...
  18. A

    Mzee mzima kaumbuka

  19. A

    Anamaanisha nini kusema amwage radhi au ndo biashara matangazo

    Jamani hivi kwenye huu wimbo Diamond - Nataka Kulewa - YouTube, anaposema amwage radhi lengo lake ni nini haswa, kwani ninavyojua kumwaka radhi ni kuvua nguo mbele za watu/ ya mtu, na akiwa amelewa yani hajitambui lengo la kumwaga radhi ni nini? au ndo mambo yale aloyashauri cameroon kipindi...
  20. A

    usione ukadhani

    usione wanajenga majumba ya kifahari ukadhani wachacharikaji, wanapunda wao wanaowatumia usione anashindwa kufanya maamuzi magumu ukadhani kapendi, anaogopa watamuua usione anazunguka huku na kule kwenye nyumba za ibada ukadhani mchamungu, anautaka urais 2015 usione kila akitoa kauli...
Back
Top Bottom