Kiukweli wale wadada wa saluni za kiume ambao ukimaliza kushevu wanaacha kukupetipeti kwa mikono yao laini mi huwa wananidatisha sana. Kuna mmoja wa pale Sinza Mugabe ndo usiseme yani, yali yule binti ananifanya kila tunywele tukichomoza tu, niende nikapige unga wa nguvu ili aanze kunipaka yale mazagazaga huku akinipapasa na mikono yake laini kupitiliza.
Yani mtu alegundua hii kitu anastahili heshima yake aisee, yani hata uwe na stress kivipi lazima zinywee mbele ya wale wadada yani. Mi kunyoa saluni zisizo na mdada wa kukupaka madikodiko baada ya kunyoa ndo basi tena, yani nikifika saluni yeyote hata mkoani lazima nicheki kama mdada yuko ama la