Arsenal wana 80% kuwa kutwaa BPL msimu huu (2013/14)

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Katika Kipindi cha miaka 10 iliyopita ni timu mbili tu (Manchester utd msimu wa 2003/04 na Liverpool msimu wa 2008/09) ambazo zilishindwa kutwaa BPL zikiwa zinaongoza ligi kuelekea mwaka mpya.

Hii inamaanisha kuwa Arsenal ambao wanaongoza ligi kipindi hiki cha mwisho wa mwaka 2013 wana 80% ya kutwaa BPL
 
Mkuu, Ninakubaliana na wewe nusu kwa nusu.

Kumbuka kuwa katika historia ya mashindano haya, haijawahi kutokea timu tano kati ya saba zinazoshika nafasi za juu katika ligi, kwa maana kuwa kuanzia ya kwanza mpaka ya saba zimeweza kubadilisha mameneja wake katika msimu mmoja.

Ligi ya mwaka huu haieleweki kabisa hasa pia ukichulia kuwa, timu iliyoko kileleni mpaka ya saba zinapishana point nane na huku timu tatu za juu zinapishana point mbili tu.

Ngoma bado ni mbichi kabisa!.

Kwetu sisi watu wa maeneo ya Drayton Park kuwa kileleni mpaka sasa ni bonus kwa sababu hakuna football pundit aliyeliona hili na mpaka sasa bado hawataki kukubali kama Arsenal inaweza kuchukua ubingwa kitu ambacho kinatufanya tusipoteze chochote.
 
Kumbuka kuna mwaka Arsenal walikuwa wanaongoza ligi kwa pointi 13 mwezi March lakini kufika Mei ubingwa waliukosa. Dhahama ilianzia pale Elland Road baada ya Mark Viduka, Ian Harte na Harry Kewel kutupia manne. Kuna mengi Sana Kati ya sasa na mwisho wa msimu, kuna wachezaji kuumia, kiwango kushuka nk. Najua mna hamu na kombe baada ya miaka 10 but kuweni na subira maana timu yenu Maji kupwa Maji kujaa,,, Leo inashinda mfululizo kesho inafungwa mfululizo
 
alex ndiyo alikuwa bingwa wa kubadilisha matokeo sadari hii nani mwingine..
 
Ni mapema mno, i'm an Arsenal fun ila mpira hauendi kwa hizo statistics!
 
Mnatafuta kuungwa mkono mashabiki Wa Arsenal! Ligi ni Ngumu sn msimu huu na haieleweki! Ebu fikiria usipoteze game zote kasoro ya Chelsea Darajani ndo ukafungwa utakua bingwa wewe ukizingatia chelsea na yeye asipoteze? Yani safari Hii ngoma Ngumu sn!
 
Kama unafuatilia EPL ligi ya mwaka huu ni ngumu kutabiri bingwa,hiyo miaka iliyopita tofauti ya point kati ya timu za juu haikuwa point chache kama ilivyo msimu huu.Tofauti ya timu tano za juu ni point 6 tu,kumbuka kabla ya mechi mbili zilizopita Liverpool walikuwa wanaongoza ligi but now wako nafasi ya 5.Arsenal ni muda mrefu sana hamjawahi kuwa kwenye nafasi kama hii kipindi hiki so its your right kuanza kuwaza ubingwa
 
kama ukiangalia fixtures vizuri sidhani km utaipa arsenal nafasi kubwa ya kutwaa epl. samahani kwa mafans wa arsenal. mwezi wa pili na watatu nadhani arsenal inaweza kupotea kabisa katika mbio za kusaka ubingwa. tukitupilia mbali kombe la fa arsenal mwezi wa pili itakuwa na mechi tatu tyt sana mfululizo ikianza na liver, man u then munich kwenye ucl then mwez wa tatu ina mechi nne tyt mfululizo ikianza na munich, spurs, chelsea, man city na kumalizia na everton sasa binafsi ntawapa arsenal nafas endapo tu watapita mwezi wa tatu wakiwa nafas ya kwanza au yapili. nikiangalia hiyo fixture nadhani arsenal anaweza kupotea kabisa na hata top four anaweza asiwepo ifikapo mwishoni mwa mwezi wa tatu. jamani huu ni mtazamo wangu na sio ushabiki. wadau hili mwaliona vp?
 
Mkuu umesema vema! Hawa ndugu zetu arsenal wanatakiwa kutulia tu mpk Hii January ipite na Feb tuone ligi itakuaje na timu zitakua zimeachana vipi!
 
kama ukiangalia fixtures vizuri sidhani km utaipa arsenal nafasi kubwa ya kutwaa epl. samahani kwa mafans wa arsenal. mwezi wa pili na watatu nadhani arsenal inaweza kupotea kabisa katika mbio za kusaka ubingwa. tukitupilia mbali kombe la fa arsenal mwezi wa pili itakuwa na mechi tatu tyt sana mfululizo ikianza na liver, man u then munich kwenye ucl then mwez wa tatu ina mechi nne tyt mfululizo ikianza na munich, spurs, chelsea, man city na kumalizia na everton sasa binafsi ntawapa arsenal nafas endapo tu watapita mwezi wa tatu wakiwa nafas ya kwanza au yapili. nikiangalia hiyo fixture nadhani arsenal anaweza kupotea kabisa na hata top four anaweza asiwepo ifikapo mwishoni mwa mwezi wa tatu. jamani huu ni mtazamo wangu na sio ushabiki. wadau hili mwaliona vp?
Umeongea kiungwana, ila kama Arsenal wakifanikiwa kutengeneza gepu la pointi Saba (7) kufikia siku wanacheza na city, hawata kamatika tena! Angalia mechi sita za arsenal zinazokuja, wakipata maximum points(18) kuna hatari wakawa wameshatengeneza gepu la hatari
 
kama ukiangalia fixtures vizuri sidhani km utaipa arsenal nafasi kubwa ya kutwaa epl. samahani kwa mafans wa arsenal. mwezi wa pili na watatu nadhani arsenal inaweza kupotea kabisa katika mbio za kusaka ubingwa. tukitupilia mbali kombe la fa arsenal mwezi wa pili itakuwa na mechi tatu tyt sana mfululizo ikianza na liver, man u then munich kwenye ucl then mwez wa tatu ina mechi nne tyt mfululizo ikianza na munich, spurs, chelsea, man city na kumalizia na everton sasa binafsi ntawapa arsenal nafas endapo tu watapita mwezi wa tatu wakiwa nafas ya kwanza au yapili. nikiangalia hiyo fixture nadhani arsenal anaweza kupotea kabisa na hata top four anaweza asiwepo ifikapo mwishoni mwa mwezi wa tatu. jamani huu ni mtazamo wangu na sio ushabiki. wadau hili mwaliona vp?

Nakubaliana na wewe mkuu kwamba ni mapema mno kuanza kutabiri ubingwa kwa sasa ukizingatia kuwa timu tatu za juu zimeachana kwa tofauti ya point moja moja. Na pia ni ukweli kuwa mwezi february ni mwezi ambao binafsi naweza sema ni mwezi dume kwa arsenal kwasababu ni mwezi ambao Arsenal atakuwa na ratiba ngumu.
Yote kwa yote tusubiri mwezi march ndio tunaweza tabiri kwa sasa tuendelee kuifaidi EPL.
 
Back
Top Bottom