Search results

  1. M

    Video recovery on honor 4x

    Chief mkwawa nime delete video yangu moja niipendayo,je nifanyeje ili niipate tena.Android phone
  2. M

    I will never vote again

    Kailima!Paskali! The only reason! No freedom of vote! while they pretend no any wrong doing while there's Bloodshed!
  3. M

    0743 135917 TAPELI

    Linajifanya lipo nyarugusu ili likupe kazi ya kusimamia wachina mpige hela. Kuwa makini na Namba hiyo
  4. M

    DART wanauza electronic ticket time expired

    Scanner imegoma wakanambia haraka haraka pita kulia kuja kuangalia ime expire time!!!-Je pesa ya ticket ambayo time ime expire na ambayo haikubali kwenye scanner je inaingia mfuko gani!!???
  5. M

    NUNDU

    KARIBU KATIKA KIZAZI CHA T~TUMEFANIKISHA!
  6. M

    Tigo wana 4G kweli au wanatuibia?

    Unaenda kwenye ofisi zao na kuwaambia nataka line ya 4G, unajaza form ya kupotelewa line ili ukose ushahidi wa kuwashitaki. Ati wanajidai kuwa wao wana database ambayo inatambua simu zinazokubali 4g yao. Nahisi Sio kweli!!
  7. M

    Menejimenti ya TTCL yashtakiwa kwa Magufuli

    Menejimenti ya TTCL yashtakiwa kwa Magufuli Mara zote wanaonena vema ndio wanaangamia!! Poleni sana jana niliwaona ITV.Hapo ndio utaelewa kwa nini Makame Mbarawa alitolewa wizara ya maji na kurudishwa mawasiliano.Magufuli linda kampuni ya simu ya Taifa ili isiingie mikononi mwa wachache.Kuna...
  8. M

    Catholic and ordhodocs…usa and cuba

    Papa francis aliwakutanisha Obama na Castro sasa hivi Castro anawakutanisha Papa francis na Krill(ordhodocs pope) Great thinker hii ina maana gani?
  9. M

    CCM iligawa rushwa siku ya kuamkia uchaguzi mkuu

    Nimeipata sasa hivi kutoka radio kwizera! Kuna mchungaji amemwaga live kuwa kwa vile yeye ni mchungaji alikataa kupokea rushwa hiyo akajitoa ccm.katibu kaongea kuwa ni posho ya kawaida toka makao makuu chama hutoa posho siku ya kuamkia uchaguzi mkuu! source Radio kwizera matukio
  10. M

    Mabibo jijini Dar yatisha kwa ujambazi

    Miezi miwili matukio mawili kifo kimoja!!! Jana alasiri muuza nafaka za jumla Mabibo Mwisho kavamiwa na kuuawa na majambazi mita 100 kutoka kituo cha polisi Mabibo Mwisho. Disemba, duka la jumla mita 5 toka kituo cha polisi Mabibo Mwisho lilivamiwa mida ya jioni na kuondoka na kiasi kikubwa...
  11. M

    Tigo never ever

    Unstable data network! No access to internet while the package is paid for! Data signal change within the fraction of second… Mara E, mda kidogo 3G, hujakaa sawa H dakika haijaisha H+. Mmh inarudi tena E! Najuta kujiunga na tigo! Great thinkers, ni mtandao gani ambao hapa Dar uko vizuri?
  12. M

    Bomoa bomoa hakuna wa kunisaidia

    Sijaona taasisi yoyote ya kiserikali na isiyo ya kiserikali kunisaidia! Hata taasisi za umoja wa mataifa na kidini zote kimya! ina maana mie nimetenda dhambi kubwa! Umaskini wangu kujenga mabondeni sijawahi pata mafuriko wala tatizo lolote leo umebomoa nyumba yangu nitaishi vipi!? Tunaomba...
  13. M

    Matajiri hawawezi leta Mabadiliko- Polycarp Kadinal Pengo

    Hakika ametoa mahubiri(homilia) nzito sana muda mfupi uliopita. Ndio maana hata ujio wa Yesu waliopewa habari njema walikuwa wachungaji maskini!.Kwenye siasa watu wanaaminishwa kuwa wanaoweza mabadiliko ni matajiri! Dar na mabadiliko ya kweli Mkoani Dar es Salaam, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu...
  14. M

    Ajali mbaya bodaboda Mabibo

    Boda ikitokea maziwa imegonga gari Ipsum mbaya dereva na abiria wake hoi bin taaban. Inasikitisha nusu saa boda wameshindwa kupata usafiri kwenda hospital!
  15. M

    Uchaguzi Zanzibar wafutwa Rasmi

    DW-Swahili!! Gazeti la serikali =============
  16. M

    Kwanini kulinda Kura?

    UKAWA lazima walinde kura zao kwa sababu hata kwenye kura za maoni za Magamba katika majimbo mbalimbali yalikamatwa masanduku ya kura yakiwa tayari yamepigiwa kura kabisa. Ninalokumbuka ni Musoma!Kama Magamba wenyewe waliweza kufanya ufisadi wa kuibiana kura kwa kufungana magori ya mkono sasa...
  17. M

    Tofauti ya wasanii wa Bongo na Marekani

    Nilimsikiliza kwa makini sana msanii wa sinema aliyemsapoti Lowassa baadae akahamia kwa Magufuli huku jamii nzima ikitamka wazi kuwa kapewa mamilioni ya pesa wakati anajitetea na kutoa mfano wa wasanii wa marekani walivyomuunga mkono Obama. Napenda kumwambia kuwa wasanii wote waliomuunga mkono...
  18. M

    Raia mwema na Raia Tanzania

    Namshukuru Mungu kuniwezesha kutambua ni kwanini magazeti haya sasa hivi yanamchafua sana Lowassa. Hii ni hali ileile iliyompa ulaji Salva na Salva sasa ni mtu mwingine tofauti na mwandishi wa habari. Salim alichafuliwa vilivyo mpaka mukulu tukamuita chaguo la Mungu. Kwa taarifa yenu...
  19. M

    Arsenal vs reading and manchester united vs chelsea kuchezwa muda sawa!

    Mechi hizi kuchezwa muda sawa Jumamosi hii imekaaje?? Arsenal Wenger amelalamika kuhusu hili kwa nini nusu fainali ya FA iwe muda sawa na The big match ya Premier League!!!??? Vipi wadau mnasemaje kuhusu hili!!!??? Football | FA Cup Arsene Wenger © Gallo Images Video highlights Wenger...
  20. M

    Wiki ya majanga,serengeti bear,maq soap na maji uhai lita 6!!

    Please advice me accodingly nimepata majanga makubwa wiki hii Kwanza nilikunywa serengeti ambayo ime-expire tangu feb Pili nikanunua maq soap ambayo expire date haijulikani ukianzia mbele wala ukianzia nyua kusoma na mbaya zaidi wakanipa securex soap kama kumi ambazo zote zime-expire!!!! Tatu...
Back
Top Bottom