Miezi miwili matukio mawili kifo kimoja!!!
Jana alasiri muuza nafaka za jumla Mabibo Mwisho kavamiwa na kuuawa na majambazi mita 100 kutoka kituo cha polisi Mabibo Mwisho.
Disemba, duka la jumla mita 5 toka kituo cha polisi Mabibo Mwisho lilivamiwa mida ya jioni na kuondoka na kiasi kikubwa cha pesa.
Kinachoniumiza ni intelinjensia ya polisi kushindwa kabisa kuwagundua hawa majambazi kabla ya kufanya tukio Huku wakijikita kuzuia mikutano ya upinzani kwa intelijensia dhaifu!!!.
Watoa taarifa wanasema hata kamanda Sirro alifika eneo la tukio hilo, jioni kukiwa na kamata kamata ya Bodaboda ya kufa mtu!!.