Tigo never ever

Milindi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
1,468
751
Unstable data network! No access to internet while the package is paid for! Data signal change within the fraction of second… Mara E, mda kidogo 3G, hujakaa sawa H dakika haijaisha H+. Mmh inarudi tena E!

Najuta kujiunga na tigo! Great thinkers, ni mtandao gani ambao hapa Dar uko vizuri?
 
Tigo ni mtandao wa ovyo sana kwenye Internet haufai hata kidogo sijui kwanini wamekimbilia 4G wakati 3G yenyewe matatizo
 
Kwenye Internet kwa TZ mobile networks... HALOTEL wanatisha kwa sasa, 3G hadi vijijini interior kunako tumika solar kitu H+...
 
Unstable data network! no access to internet while the package is paid for! Data signal change within the fraction of second… mara E,mda kidogo 3G,hujakaa sawa H dakika haijaisha H+. mmh inarudi tena E! Najuta kujiunga na tigo! Great thinker ni mtandao gani ambao hapa dar uko vizuri?
Kwenye simu yangu nimeeka line halotel na ni special kwa intanet tu!!! Hata vijijin ndan inashika 3g....i recommend halotel...
 
kiukwel na mm tigo wamenipata safar hii maana nmenunua bando ya wik tang jana lkn hamna kitu wapo slow hatar mpk najuta kuw faham
 
Unstable data network! no access to internet while the package is paid for! Data signal change within the fraction of second… mara E,mda kidogo 3G,hujakaa sawa H dakika haijaisha H+. mmh inarudi tena E! Najuta kujiunga na tigo! Great thinker ni mtandao gani ambao hapa dar uko vizuri?
TTCL 4G LTE
 
Tigo ni mahiri wa matangazo lakini huduma zinacheza mayenu voda kwenye net wako vizuri japo nao wana shida zao nyingine ndogo ndogo lakini zinavumilika
 
Muungwana hapo voda umetumia neno zito sana wana matatizo ila yanavumilika tupo pamoja hapo hao tigo wala sitaki kuwasikia.
 
Back
Top Bottom