Sijaona taasisi yoyote ya kiserikali na isiyo ya kiserikali kunisaidia! Hata taasisi za umoja wa mataifa na kidini zote kimya! ina maana mie nimetenda dhambi kubwa! Umaskini wangu kujenga mabondeni sijawahi pata mafuriko wala tatizo lolote leo umebomoa nyumba yangu nitaishi vipi!? Tunaomba msaada badala ya uingereza na makonda kujenga maegesho tujengeeni gorofa wote tutatosha ! Mchechu NHC jenga nyumba kwa ajili yangu maskini utaheshimika zaidi!