Menejimenti ya TTCL yashtakiwa kwa Magufuli
Mara zote wanaonena vema ndio wanaangamia!! Poleni sana jana niliwaona ITV.Hapo ndio utaelewa kwa nini Makame Mbarawa alitolewa wizara ya maji na kurudishwa mawasiliano.Magufuli linda kampuni ya simu ya Taifa ili isiingie mikononi mwa wachache.Kuna tetesi kuwa kuna kampuni moja ya South Afrika ambayo ina uhusiano mzuri na waziri kwa sababu naye alikaa South muda mrefu ndio inapiganiwa kupewa mkongo wa Taifa.Mheshimiwa Rais usikubaliane na wazo!!!!