Tigo wana 4G kweli au wanatuibia?

Milindi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
1,467
750
Unaenda kwenye ofisi zao na kuwaambia nataka line ya 4G, unajaza form ya kupotelewa line ili ukose ushahidi wa kuwashitaki.

Ati wanajidai kuwa wao wana database ambayo inatambua simu zinazokubali 4g yao. Nahisi Sio kweli!!
 
Ndugu yangu kaenda kwa ofisi yao wakamwambia lete simu yako tuangalie kwenye database yetu!! Oooh yes simu yako inakubaliana na 4g yetu(4g ya tigo magumashi inachagua simu).Tangu posta mpaka mwenge hakupata 4g alipofika mlimani city akapata.Alipotoka pale basi 4g ikapotea!!!!!!. .............................................................
 
Tigo ni wapuuuz.. 4g hio isyo hata na whatsapp call karibia miez 3' wananiambia eti wana tatizo la ufundi, c ujinga huu... Miez 3 haliponi???? Personal kwa internet nimehamia airtel vifurush bei chee na mb za kumwaga full internet calls
 
Bora tigo kuna huu mtandao unaitwa TTCL 4G yao iko ofisini kwao tu ukitoka sim card haisomi.
a155ad59c8e0c7a4dd31b26e29472c8c.jpg
 
Ndugu yangu kaenda kwa ofisi yao wakamwambia lete simu yako tuangalie kwenye database yetu!! Oooh yes simu yako inakubaliana na 4g yetu(4g ya tigo magumashi inachagua simu).Tangu posta mpaka mwenge hakupata 4g alipofika mlimani city akapata.Alipotoka pale basi 4g ikapotea!!!!!!. .............................................................
Elewa aio cm zote zenye 4g ata sio zote zenye 3g
Af haijasambaa
Sa kama cm yako inaonesha 4g mda wote.kamuulize tena aliekuuzia kama anathamini ubinadam wako
 
Back
Top Bottom