Nimeipata sasa hivi kutoka radio kwizera! Kuna mchungaji amemwaga live kuwa kwa vile yeye ni mchungaji alikataa kupokea rushwa hiyo akajitoa ccm.katibu kaongea kuwa ni posho ya kawaida toka makao makuu chama hutoa posho siku ya kuamkia uchaguzi mkuu! source Radio kwizera matukio