Wakuu natarajia kuanza kuvuna vitunguu mwishoni mwa mwezi huu. Vipi soko likoje Kwa sasa? Nani mwenye uzoefu wa kusafirisha kuja kuuza mijini mfano Dar es Salaam na kwingineko? Napanga kama bei ya shamba itakuwa ndogo sana nisafirishe.
Nasumbuliwa na AC ya Daihatsu Terios na tatizo hasa liko kwenye compressor. Kwa yeyote anayewafahamu mafundi wazuri wa AC za magari au wapi naweza pata compressor ya Terios kwa DAR anijulishe. Asanteni
Heshima yenu wakuu,
Huwa naona kwenye nyumba za watu binafsi wameweka madishi makubwa maarufu kama "ungo" yale ambayo yako kama chujio. Ningependa kujuwa kwa wenye uzoefu nayo, nayapata wapi kwa hapa DAR na chanel zilizomo kwa kifupi na gharama zake. Asanteni sana.
Wakuu nilikuwa najaribu kupitia mitandao ya mabenki mbalimbali ya hapa nyumbani kwetu TZ na nimekutana na hii kitu inaitwa HABA na HABA akaunti ya watu wa Exim Bank. Nimeona inaweza kuwa ya msaada sana wakati utakapostaafu na kuachana headache za PPF, NSSF and the Co. Kwa taarifa zaidi gonga...
Watanzania wenzangu, tatizo la umeme linaloikabili nchi yetu ni "man made" yaani ni la kutengenezwa na wanadamu. Katika mkutano kati ya waziri mpya wa Nishati na Madini na wafanyakazi wa TANESCO kanda ya Dar es Salaam na Pwani wiki iliyopita wafanyakazi walimweleza waziri matatizo lukuki...
Wakuu ni duka gani kwa Dar es Salaam wanauza genuine (made in Europe if possible) wiring materials na vikorombwezo vyake kama vile soketi, swichi n.k. Niko kwenye hatua ya kufanya wiring kwenye nyumba mpya.
Natanguliza shukrani zangu.
Wakuu, pendekezo la Zitto Kabwe la kutumia asilimia 4 ya "Skills Development Levy " iliyokuwa inaingia serikali kuu kusomesha vijana wetu limetekelezwa kwenye bajeti ya mwaka 2011/2012.
Nanukuu
"79. Mheshimiwa Spika, napendekeza kufanya marekebisho kwenye sheria ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi...
The World's Most Expensive Stuff 2010
by Venessa Wong
Tuesday, April 20, 2010
provided by
The Rich Spend Richer
More from BusinessWeek.com:
Art to Cigars: A Shopping List for the Superrich
New York's Most Expensive Real Estate
The 50 Most Expensive Small Towns in America 2010
For...
Kavkazcenter.com has been known to carry accurate claims of attacks
A North Caucasus Islamist group has claimed responsibility for a bomb that killed 26 people on a Moscow-to-St Petersburg train, a website says. The website claim on Kavkazcenter.com said last Friday's attack was carried out by...
Guy Laliberté returns red-nosed to Earth after space odyssey
Cirque du Soleil tycoon lands in Kazakhstan after 10 days aboard the International Space Station wearing his clown's nose
<LI class="third-party-tool no-comments " sizset="29" sizcache="0">Buzz up!
Digg it
Associated Press in...
Dangerous foods list includes leafy greens, eggs, tuna
<LI class=byline>By Aaron Smith, CNNMoney.com staff writer
On 2:07 pm EDT, Tuesday October 6, 2009
Leafy greens -- including lettuce and spinach -- top the list of the 10 riskiest foods, according to a study from a nutrition advocacy group...
Jamani kwa wapenzi wa nyimbo za injili jina la Timothy Ngw'inamila si geni masikioni mwao. Huyu mtu alikuwa maarufu sana kwa utunzi na uimbaji wa nyimbo za injili hadi miaka ya 90. Hivi sasa hasikiki kabisa. Je kuna mtu ana taarifa za aliko?
Wana JF,
Ndugu zetu wa Botswana wanatafuta mkurungezi wa mambo ya utafiti na maendeleo (Research and Development). Anatakiwa awe na PhD ya Science au uhandisi. Kwa maelezo zaidi soma attachment.
350 KLM passengers fail to fly out of Dar
2009-04-20 16:30:34
By Patrick Kisembo
About 350 KLM passengers were stranded on Saturday night at the Julius Nyerere International Airport after their plane reportedly developed technical problems.
Some of the passengers booked for the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.