HABA na HABA Akaunti ya EXIM Bank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HABA na HABA Akaunti ya EXIM Bank

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by rmashauri, Jul 22, 2012.

 1. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wakuu nilikuwa najaribu kupitia mitandao ya mabenki mbalimbali ya hapa nyumbani kwetu TZ na nimekutana na hii kitu inaitwa HABA na HABA akaunti ya watu wa Exim Bank. Nimeona inaweza kuwa ya msaada sana wakati utakapostaafu na kuachana headache za PPF, NSSF and the Co. Kwa taarifa zaidi gonga hapa http://www.eximbank-tz.com/Retail/Account/Haba%20na%20Haba.php
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwa mfano ukiweka Tshs. 515,000 kila mwezi kwa miaka 10 (miezi 120) kwa ujumla utakuwa umeweka Tshs. 61,800,000 na wao wanakupa milioni 100. It is a good deal kwa wenye kuweza kumudu kuweka hiyo amount.
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Tatizo hii inflation bro ndio inatutisha at this 19% yani amani inakosekana kabisa unaweza ukaitoa hiyo 100ml ukakuta wakati huo inaweza kununua Bajaj :happy:. Lakini sounds great
   
 4. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  kwa ushauri huo nakupongeza sana sasa iyo 515,000/= kwa vimishahara vya serikali!!! mmh shoti 2pu!
   
 5. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mkuu hii inflation inaogopesha kwa kiasi chake ila hiyo amount si haba kwa kweli. Tuombe MUNGU 2015 tupate kiongozi ambaye si dhaifu ili adhibiti inflation na pesa yetu iendelee kuwa na thamani.
   
 6. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tatizo liko hapo mkuu. Vimishahara vya serikali yetu ni vidogo na kumudu kuweka 515,000/= kwa mwezi si rahisi. Ila pia wana option kadhaa ingia kwenye hiyo website niliyoweka kwenye post ya kwanza unaweza kupata kiwango unachoweza kumudu kuweka kwa mwezi kwa muda utakaochagua mwenyewe.
   
 7. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Mkuu rmashauri benki huwa wasanii sana. Katika majedwali yao wanaandika figures zinazovutia lakini ukigonda hodi kwenye ofisi zao uankuta hadithi tofauti. Katika haya majedwali hawajaandika kiasi gani cha hiyo pesa kitakatwa kama VAT na iwapo utalipwa kwa mkupuo. Kwa harakaharaka inaonekana ni scheme nzuri though, nitawatembelea wanipe details halafu nitawapa feedback.
  Asante kwa useful post...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu ZeMarcopolo ni kweli kuna baadhi ya vitu huwa hawa-disclose, ila kwa hii haba na haba akaunti ni mkataba kwahiyo at the end of the mkataba unapata hela yako minus a 10 % withholding tax ya ile profit. Tutashukuru kwa feedback yako baada ya kuwa umewatembelea.
   
 9. amu

  amu JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2014
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  mkubwa mbona hujaleta feedback??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...