rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Feb 1, 2010 #1 Hivi ndivyo mandhari ya ughaibuni yanavyoonekana kwa sasa. Attachments Image000.jpg 173.5 KB · Views: 402 Image001.jpg 186.5 KB · Views: 209 Image002.jpg 200.8 KB · Views: 184 Image003.jpg 239.2 KB · Views: 172 Image005.jpg 140.6 KB · Views: 170
eRRy JF-Expert Member Joined Jun 12, 2009 Posts 1,126 Reaction score 208 Feb 2, 2010 #2 pazuri saaaaana! palivyopendeza jameni!!! ila sipaoni!
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,216 Reaction score 3,126 Feb 2, 2010 #3 Kunameremeta hata mimi nakuona. 😀
R RR JF-Expert Member Joined Mar 17, 2007 Posts 6,976 Reaction score 2,044 Feb 2, 2010 #4 eRRy84 said: pazuri saaaaana! palivyopendeza jameni!!! ila sipaoni! Click to expand... Abdulhalim said: Kunameremeta hata mimi nakuona. 😀 Click to expand... LOL. Halafu the guy kaingia mitini
eRRy84 said: pazuri saaaaana! palivyopendeza jameni!!! ila sipaoni! Click to expand... Abdulhalim said: Kunameremeta hata mimi nakuona. 😀 Click to expand... LOL. Halafu the guy kaingia mitini
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Feb 2, 2010 Thread starter #5 eRRy84 said: pazuri saaaaana! palivyopendeza jameni!!! ila sipaoni! Click to expand... Abdulhalim said: Kunameremeta hata mimi nakuona. 😀 Click to expand... Roya Roy said: LOL. Halafu the guy kaingia mitini Click to expand... Samahani wakuu, kulikuwa na tatizo la kiufundi kidogo. Naona sasa mwaweza kuziona picha.
eRRy84 said: pazuri saaaaana! palivyopendeza jameni!!! ila sipaoni! Click to expand... Abdulhalim said: Kunameremeta hata mimi nakuona. 😀 Click to expand... Roya Roy said: LOL. Halafu the guy kaingia mitini Click to expand... Samahani wakuu, kulikuwa na tatizo la kiufundi kidogo. Naona sasa mwaweza kuziona picha.
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,267 Feb 2, 2010 #6 rmashauri said: Samahani wakuu, kulikuwa na tatizo la kiufundi kidogo. Naona sasa mwaweza kuziona picha. Click to expand... Poa kabisa mkuu. Naona umeweza kumudu. Tuko pamoja.
rmashauri said: Samahani wakuu, kulikuwa na tatizo la kiufundi kidogo. Naona sasa mwaweza kuziona picha. Click to expand... Poa kabisa mkuu. Naona umeweza kumudu. Tuko pamoja.
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Feb 2, 2010 Thread starter #8 Ab-Titchaz said: Poa kabisa mkuu. Naona umeweza kumudu. Tuko pamoja. Click to expand... Nashukuru kwa msaada wako mkuu picha zimeweza kuonekana sasa.
Ab-Titchaz said: Poa kabisa mkuu. Naona umeweza kumudu. Tuko pamoja. Click to expand... Nashukuru kwa msaada wako mkuu picha zimeweza kuonekana sasa.
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Feb 2, 2010 #10 Duh hii ni kali ni wapi huku kwenye snow kali mpaka leo? Uswiss au? Manake sehemu nyingi zimetulia ungawa baridi kali bado ipo
Duh hii ni kali ni wapi huku kwenye snow kali mpaka leo? Uswiss au? Manake sehemu nyingi zimetulia ungawa baridi kali bado ipo
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,402 Reaction score 321 Feb 2, 2010 #11 kweli ni kuzuri, lakini kunahamishika huko? kuje tandale na tandale kupelekwe si eti jamani?
Lole Gwakisa JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 4,777 Reaction score 2,392 Feb 2, 2010 #12 Mna matatizo gani huko majuu? Mbingu zimedondoka? Hali hiyo naiona tu kwenye friji yangu inapokuwa nzima na umeme haujakatika!!!!
Mna matatizo gani huko majuu? Mbingu zimedondoka? Hali hiyo naiona tu kwenye friji yangu inapokuwa nzima na umeme haujakatika!!!!
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Jan 23, 2014 Thread starter #13 Lole Gwakisa said: Mna matatizo gani huko majuu? Mbingu zimedondoka? Hali hiyo naiona tu kwenye friji yangu inapokuwa nzima na umeme haujakatika!!!! Click to expand... Kila Winter likifika ndo hali inavyokuwa mkuu. Sasa ni Winter na hali iko hivi pia.
Lole Gwakisa said: Mna matatizo gani huko majuu? Mbingu zimedondoka? Hali hiyo naiona tu kwenye friji yangu inapokuwa nzima na umeme haujakatika!!!! Click to expand... Kila Winter likifika ndo hali inavyokuwa mkuu. Sasa ni Winter na hali iko hivi pia.
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,543 Reaction score 30,100 Jan 23, 2014 #14 Natamani...