Search results

  1. pcman

    Je Mafuriko yanaweza zuiwa kwa mkono?

    Hali ya hewa ilikuwa kama shwari, lakini hizi kelele na kimbunga na wingu kubadilika vinaashiria mafuriko bado yapo. Mhe. Lowassa amekwisha timkia CHADEMA ili aweze timiza maono aliyonayo juu ya TZ. Je haya mafuriko yanaweza zuiwa kwa mkono?
  2. pcman

    Swali nisaidieni

    Kumekuwa na tuhuma dhidi ya askari wa usalama barabarani kwamba wapokea rushwa.Nakumbuka pia Mwandishi Jerry Muro alishawahi rusha video clip ya askari akipokea mlungula. Swali hivi wakishapokea fedha huwa wanaweka wapi?. maana sijawahi kuona mifuko ya nguo zao imetuna kwa kujaa fedha!.
  3. pcman

    Msaada Tafadhali

    Wadau huwa kuna matukio ya kihalifu tunayaona mtaana. MFANO polisi wakipokea rushwa na kuacha uhalifu uendelee. Sasa Je ni wapi mahali salama na sahihi ya kupeleka taarifa ili zifanyiwe kazi?. Hivi kuna wasafi na waaminifu na wenye ujasiri kwenye system?.
  4. pcman

    African leaders can learn from Khama

    Visiting UN not priority for Khama View PhotoCOST CONSCIOUS: Seretse Ian Khama does not go to many summits as he says some are just talk shops and … GABORONE — Lt-Gen Seretse Ian Khama, now in his fifth year as Botswana’s president, has yet to make the pilgrimage to New York for the...
  5. pcman

    Ungejisikiaje, huku sio kuchafuliwa au kujichafua kwa majina ya waheshimiwa?

    Kama jina lako linatumiwa na mojawapo ya shule za sekondari zinazofanya vibaya, ungechukua hatua gani?. Hivi wenye haya majina wanajisikiaje wanapoona matokeo haya?. Jina la Shule DIV-I 17 DIV-II DIV-III DIV-IV FLD...
  6. pcman

    Ungechukua hatua gani?

    Kama jina lako linatumiwa na mojawapo ya shule za sekondari zinazofanya vibaya, ungechukua hatua gani?. Hivi wenye haya majina wanajisikiaje wanapoona matokeo haya?. Jina la Shule DIV-I 17 DIV-II DIV-III DIV-IV FLD...
  7. pcman

    Hakuna kama mh. J.Kikwete

    Ni raisi pekee: 1.Aliye mpole na asiye na papara katika mambo yake 2.mwenye huruma na utu, hakusi kuhudhuria misiba muhimu, kutuma salamu za rambirambi, kutembelea wagonjwa, n.k 3.Anayeweza kukuita ikulu na ukaenda bila woga 4.Anayependwa na wana CCM hatakushinda tena nafasi ya uenyekiti 5.Asiye...
  8. pcman

    Dawa ya kupunguza nguvu

    Baada ya kuonekana kwamba kuna dawa nyingi za kuongeza nguvu za kiume, ninatafuta dawa ya kupunguzanguvu za kike.
  9. pcman

    bureau de change na ulipaji wa kodi

    wadau naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu ulipaji kodi wa hizi bureau de change.Ukienda kubadili fedha wengi hawatoi risiti na cha ajabu leo nimedai risiti nikapewa ila sioni makato yeyote ya kodi kwenye risiti.Je hii ni sawa? Au hawa jamaa wanalipa vipi kodi?
  10. pcman

    bureau de change na kulipa Kodi

    wadau naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu ulipaji kodi wa hizi bureau de change.Ukienda kubadili fedha wengi hawatoi risiti na cha ajabu leo nimedai risiti nikapewa ila sioni makato yeyote ya kodi kwenye risiti.Je hii ni sawa? Au hawa jamaa wanalipa vipi kodi?
  11. pcman

    Mitihani ya kidato cha nne imemwagika kama si kuvuja?

    Ndugu wana JF, Jana nilipata bahati ya kuwahoji baadhi ya vijana wanaofanya mitihani ya kidato cha 4.Hawa vijana wakaniambia mitihani imevuja, paper kama ya histori na biology walizopata nje ndizo wlizozikuta ndani ya chumba cha mtihani. HIVI TUNATENGENEZA TAIFA LA NAMNA GANI?
  12. pcman

    Mitihani ya kidato cha nne imevuja au imemwagika?

    Wadau nimepata nafasi ya kuwahoji madogo wanaofanya mitihani ya kidato cha nne.Hali inaonyesha mitihani inapatikana.Maana maswali wanayokujanayo wenzao ndio hayo wanayakuta ndani ya chumba cha mtihani.Shame on Us.
  13. pcman

    Ujasiri wa kidemokrasia tarime

    Please follow the link Documentary
  14. pcman

    Elections 2010 Kesho wapi Fiesta?

    Wadau, kesho fiesta wapi?. Maana,hawa wasanii sijawahi kuwaona live.Maana nimesikia wenzetu Iringa wemejinoma.
  15. pcman

    Elections 2010 Mkapa vs kikwete

    WanaJF nimeikopi hii mahali, Tafakari, chukua hatua KIONGOZI BWM Vs JK MWAKA 2000 -2004 Vs 2005-2009 Unga 460 Vs 1000 = 217% Mchele 600 Vs 1200 = 200% Sukari 760/kg Vs 1600/kg = 210% Mkate 250 Vs 700 = 280% Maharagwe 360/kg Vs 1000/kg = 277% Mafuta ya taa 450/lt Vs 1050 = 233%...
  16. pcman

    Elections 2010 Wakili wa mdai wa Dr. Slaa ni mgombea udiwani wa CCM!

    Je wajua kwamba wakili A.Kitururu anaye mtetea Mporwa mke wa Dr Slaa ni mgombea udiwani wa CCM kata ya ubungo.Je CCM mnataka wananchi wajifunze nini?.
  17. pcman

    Imani na AHADI za mwana CCM

    Hivi aliyetunga hivi vitu yupo hai?. * Binadamu wote ni Sawa * Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake * Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (1) Binadamu...
  18. pcman

    Huduma ya Zimamoto

    nilikuwa napenda kufahamu, Hivi huduma ya kuzimiwa moto inalipiwa?. Maana naona hata baadhi ya makampuni binafsi yana magari kwa ajili hiyo.
  19. pcman

    Kwa nini tulishindwa kuendesha TIPER?

    I have been asking myself, why did we close our Petroleum refining company (TIPER) after seen this news from the daily news. Modern oil refinery for Dar es Salaam A FOUR-nation consortium will soon start construction a state-of-the-art oil refinery in Dar es Salaam and an oil pipeline...
  20. pcman

    Ubunge Vs Elimu

    Nimechukua muda wa kama Saa zima kutemebelea tovuti ya bunge la Tanzania, yaani http://www.parliament.go.tz na kuangalia Cv za wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Nimegundua kuwa wengi wa wabunge hawana hata digrii. Je kwa utendaji wa bunge letu wa sasa, kuna uhusiano wowote na...
Back
Top Bottom